Lipumba, mdhamini mtoto aliyekojolea kurani

amesema waislam wana mgogoro na serikali,ni upi tena? mbona waislam kuiba na kuharibu makanisa hasemei hayo? lkn kwa kuwa chama chao kina hisa na pondo ndio maana,lipumbav ni mdini sana na ndio maana prof Abdala alivyotambua hilo akaikimbia KAFA.[/QUOT

Kiukweli UDINI ni kitu kibaya sana. Prof. Lipumba pamoja na elimu yake yote ametumbukia kwenye mtego wa Kidini. Hawezi kumshabikia Gaidi Ponda eti kwa SABABU ni Muislam mwenzake. Mbona hakutoa tamko wakati Waislam walivyoyachoma Makanisa? Toka Makanisa yaanze kuchomwa ni mda mrefu sana umeshapita bila hata kusikia tamko lolote kutoka CUF. Nimeamini kuwa CUF ni Chama cha Kidini.

Heshima yangu yote kwa Prof nimeitoa maana Elimu haijamsaidia kabisa. Yule kijana aliyeikojolea Kuruani mbona hajatoka hadi sasa? Hakuna tamko lolote kutoka kwa Prof Lipumba wala Chama Chake? Kweli Waislam hawana Wasomi maana kama mtu kama Lipumba anaongea kama mtu wa vijiweni nini tofauti ya yeye kuwa msomi?
 
Huyo ni Prof. lakini cheki upeo wake, eti ndio alikuwa mshauri wa Mwinyi katika masuala ya uchumi
 
Udini ni TAhasisi kama NG,O zingine ivyo yawapasa Wenzetu hawa (ISLAM) waangalie sana nyuma na mbele pale wanapokua wanataka kufanya jambo flani,
 
mimi nawashangaa sana waislam bse 2005 JK alivyo ingia madarakani alishinda kwa asilimia zaidi ya 80. je ni waislam tuu walimpigia kura? Kipindi hicho kulikuwa hakuna mfumo kristo? Halivyo boronga kwenye utawala wake na wale wale 80% waliompigia kura wakaanza kujiuliza kuhusu walicho tarajia kukikosa? waislam wakadai anapingwa kwasababu ni mwisilam. Mimi nashindwa kuwaelewa hawa jamaa wanailalamikia serikali lakini inapofika kupiga kura provided ni mwisilam mwenzao hata kama ni kilaza wanampigia kura. Hata baada ya kuboronga kura alizopata JK hazikutoka kwa waislam pekee zilitoka na kwa wakristo pia. Madai ya hawa jamaa hayanamsingi wowote. Zamani kidogo nilikuwa nafundisha shule moja huko Tanga wanafunzi wote walikuwa waislam kitu kilichokuwa kinanisumbua nikwamba watoto walikuwa hawana mwamko kabisa wakujisome masomo ya kawaida ya shuleni so wengi walikuwa wanafeli. lakini masomo ya dini walikuwa wanayazingatia sana. wazazi nao walikuwa hawawaimizi watoto wao kusoma masomo ya shule. So shule ilikuwa inafelisha sana hadi nikaamua kujiuzulu kazi ya kufundisha. wakati unafundisha darasani mfano Math mtoto anajisomea msahafu ukimpa adhabu noma ya mashekhe uiwezi ilikuwa ni balaa tupu.....
 
Hii Move ni nzuri sana kwa Profesa Lipumba, Nadhani ni wakati Muafaka watu Influential Kama Mzee Mtei Wangijitokeza na Kuweka wazi msimamo wao wa kuvunjwa kwa katiba ya nchi waziwazi juu ya Haki ya Mtanzania Kupata dhamana kwa makosa yenye kudhaminika. Lakini hata hivyo nahofia Mzee Mtei alishatoa Kauli ya Kibaguzi Humu JF juu ya Waislamu, sijui kama anaweza kujitokeza na kutumia matukio ya sasa yanayojiri nchini Kusahihisha Makosa yake ili kurejesha Imani ya Waislamu Kwa Chama alichokiasisi, Otherwise Kauli yake ile Imeendelea kukicost Chama chake sana.
 
Lipumba labda awe Rais wa iraq au somalia lakini sio ktk nchi yetu Tanzania ambayo zaidi ya 74% ni sisi wakristo na waislamu ni chini ya 29%.
 
Mkolawake, nakubaliana na wewe 100%. Infact yule aliyeipeleka Koran kukojolewa pamoja na baba yake aliyemruhusu mtoto asiye na akili kubeba Koran Tukufu wangekuwa washitakiwa namba moja. Yule aliyeikojolea angekuwa shahidi tu. Wewe unapeleka kitabu chako unachokithamini kwa mtu ambaye wala hakijui anaona michoromichoro tu alafu namwambia akikojolee atageuka nyoka. Alafu akikikojolea kukuthibitishia kuwa wewe ni mwongo kuhusiana na kitabu chako, unapiga makelele na kumpeleka polisi. AFANDE KO. Kwanini usiwakamate hawa wahuni mara moja?
 
Lipumba labda awe Rais wa iraq au somalia lakini sio ktk nchi yetu Tanzania ambayo zaidi ya 74% ni sisi wakristo na waislamu ni chini ya 29%.

Tunashukuru kwa data, kwani kwenye sensa hakikuwekwa hicho kipengele, kwahiyo umetusaidia sana!!!
 
amesema waislam wana mgogoro na serikali,ni upi tena? mbona waislam kuiba na kuharibu makanisa hasemei hayo? lkn kwa kuwa chama chao kina hisa na pondo ndio maana,lipumbav ni mdini sana na ndio maana prof Abdala alivyotambua hilo akaikimbia KAFA.[/QUOT

Kiukweli UDINI ni kitu kibaya sana. Prof. Lipumba pamoja na elimu yake yote ametumbukia kwenye mtego wa Kidini. Hawezi kumshabikia Gaidi Ponda eti kwa SABABU ni Muislam mwenzake. Mbona hakutoa tamko wakati Waislam walivyoyachoma Makanisa? Toka Makanisa yaanze kuchomwa ni mda mrefu sana umeshapita bila hata kusikia tamko lolote kutoka CUF. Nimeamini kuwa CUF ni Chama cha Kidini.

Heshima yangu yote kwa Prof nimeitoa maana Elimu haijamsaidia kabisa. Yule kijana aliyeikojolea Kuruani mbona hajatoka hadi sasa? Hakuna tamko lolote kutoka kwa Prof Lipumba wala Chama Chake? Kweli Waislam hawana Wasomi maana kama mtu kama Lipumba anaongea kama mtu wa vijiweni nini tofauti ya yeye kuwa msomi?

waislamu ni semi-illiterates trust no one usije ukazugika na upropesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom