Search results

  1. D

    Wapi nitapata nyama choma nzuri-Dar

    Wapendwa, Ni wapi (kiwanja) naweza pata nyama choma nzuri kwa dar. Domo Zege
  2. D

    Kiwanja kinauzwa

    Kipo Goba mpakani karibu na Goba Secondari. Ukubwa ni 40*37 Ni rahisi kufikika toka Mbezi ya Kimara ni dakika 50,kipo karibu na barabara. Hakijapimwa na hakina hati. Bei ni 6 million kwa ajili ya kukiona contact 0712650807 dalali hatakiwi Kwa maelekezo zaidi ni PM
  3. D

    VETA wagundua gari linatotumia mionzi ya jua

    MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola. Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina moshi wala kelele lakini likiwa mahali ambapo hakuna jua kwa saa tano haliwezi kufanya kazi...
  4. D

    Ubahiri Noma

    Mpare mmoja alianguka kwenye kisima cha maji akawa anapiga kelele huku anatapatapa .Mkewe akaja na kamba mpya akamrushia,maongezi yao yalikua kama ifuatavyo;Mume: Kamba umenunua sh ngapi?Mke:BukuMume:Irudishe haraka nenda kwa Masawe anauza jero fanya haraka nitazama
Back
Top Bottom