Search results

  1. I

    Nataka kuwa wakala wa kuuza gas, nifanyeje?

    Wana jf, Mimi ni mjasiliamali mdogo mwenye mtaji unaokaribia millioni 10, nataka nibadili biashara hii nifanyayo na kuanza kuuza gas za ORYX au Lake gas. Kwa kweli sifahamu taratibu zozote za kufuata niweze kuuza hii product kutoka kwenye kampuni hizi. Mwenye ufahamu cha kufanya anijuze plz.
  2. I

    Fundi wa laptop morogoro

    Nenda kwa GIFT ELECTRONICS maeneo ya mzunguko wa kambarage, barabara ya kwenda SUA.
  3. I

    Wema Sepetu Na Mpenzi Wake MPYA

    Jamaa aliekua na wema ana undugu na kigogo wa juu hapa nchini, ila namsikitikia kwani "HILO NI JIKO LA SHAMBA HALICHAGUI KUNI" matete, maboriti, mbuyu, twende tuu!!!!!!!!!!
  4. I

    Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Yetu africans - saidi mrisho (zico wa kilosa)
  5. I

    "Giving money abroad to Africa - It has to stop"

    JUST LISTEN VIEWS OR IDEAS FROM DR. DAMBISA MOYO (ZAMBIAN) ON HOW ABROAD AID TO AFRICA IS NOT WORKING? SHE IS AUTHOR OF THE BOOK "DEAD AID" Why Aid to Africa is Not Working - YouTube
  6. I

    Mh Pinda Acha Uoga!

    Alishawahi kusema na tuuvunje muungano tuone nani atataabika.
  7. I

    ukimya umenishinda,nisaidieni jamani.

    Pole sana, ila shule za secondary zipo nyingi tuu, nenda kafundishe. eg peleka CV yako na vyeti na barua ya maombi pale wizara ya Elimu wakupangie shule. ila uking'ang'ania dar ndugu utakwama. anza na ualimu then michongo mingine baaadae.
  8. I

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Duuu!!!!!!!!! nchi yangu Tanzania unaelekea wapi? na hii ndo shida ya kuwaweka retired officers kwenye bodi za mashirika.
  9. I

    Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi

    Jamani huku kenya waalimu wana mgogoro na serikali wanataka waongezewe salary kwa 300% yaani from Ksh.24000 to 72000. wako serious kwelikweli. Nanyi TZ kazeni kamba ili mziilishe kuwa vichwa vyenu sio vya kuoteshea nywele tuu. LIWALO NA LIWE.
  10. I

    Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

    mjumbe auwawi. tusimamishe kazi zote tulilekebishe hili kwanza. Duu inauma sana hasa kwa sisi vijana. HAIWEZEKANI LIWALO NA LIWE.
  11. I

    Ushauri kuhusu biotechnology

    Hii kozi ni nzuri sana, lakini kwa TZ ni vigumu sana kupata kazi kwenye Halmashauri za (w) ambazo ndo zinachukua graduate wengi, kiufupi hakuna ngazi yako katika Halmashauri za (w). eg Halmashauri zinachuua waalim, madaktari mabwana mifugo etc. ila kuanzia mwaka jana baadhi ya wizara zimeanza...
  12. I

    Mwanawani eti huyu anafanana na nani?!!!

    Anafanana na mtoto wa mkulima.
  13. I

    morogoro mjini 2015

    Huyu yupo cuf hapo kazuga tu na hiyo bendera. Mtatiro analijua hilo.
  14. I

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Aibu kubwa sana kiongozi wa magamba(Lukuvi) aliposhushuliwa na Lissu bungeni
  15. I

    Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

    Ni kweli Dodoma Central ilipungua vigezo, lakini wizara ingefanya jitihada kuakikisha secondary ile inaboreshwa,. kuifunga ni kuwakosea wanaosoma na kufanya kazi pale. Labda kuna fisadi anataka lile eneo pale ashushe mjengo. let us wait and see.
  16. I

    Diwani wa CCM afariki India

    R.I.P Dr. Maiseli. ulikua makini sana lakini wapinzani wako ndani ya CCM walikupiga vita sana. Naamini Chadema waje kuchukua jimbo lao sasa.
  17. I

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Hongera Nasary, Wasamehe walio kukosea 7x70. Songa mbele na uombe CDM ikusaidie kutatua yale matatizo ya haraka. eg Maji( chimbeni visima kampuni zipo zinasubiri tender tuu),. Tatizo la ardhi fuatilia lile jalada ambalo Medeye alisema analifanyia kazi(kama alidanganya utujulishe mapema ili...
  18. I

    Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

    :peace::violin:
  19. I

    Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

    EAST,WEST, HOME IS THE BEST:redface:
  20. I

    Kikwete alijua na kuruhusu jengo la ubalozi Italy kununuliwa

    Mhhh!! Baba Mwanaasha hakupewa cha juu hapa ndo maana alikasirika.:eyebrows:
Back
Top Bottom