Search results

  1. richard77

    Naomba tofauti kati ya MP3 VS MP4

    Naombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
  2. richard77

    Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    nenda posta kisutu pale kuna duka kubwa la vifaa vya umeme tronic utazipata, 200K
  3. richard77

    Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

    Hiyo namba moja, unaweza ambiwa onesha shamba lako
  4. richard77

    Natafuta kazi kiwandani

    sayona
  5. richard77

    Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

    Iko hivii, kwanini pepsi inapendwa sana siku hizi kuliko vinywaji vingine vya cocacola kama zamani zilivyokua zinapendwa. Tatizo lilianzia kwenye bei, kuna kipindi soda za coca zilipandisha bei mpaka miasita 600, na pepsi pia,,, lakini pepsi akaona fursa kwa watu baada ya kuona hawakupendezwa na...
  6. richard77

    Natafuta kazi kiwandani

    nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime...
  7. richard77

    Natafuta kazi kiwandani

    nilifanya kazi kiwandani kama kibarua ili nipate connection ya kufika juu nipeleke makaratasi yangu ili iwe rahisi kupewa kwa sababu nimeanza chini na ni mfanyakazi wao, mamaee nilisota miezi 6, bila mafanikio, kazi ngumu hatari, ukilala siku moja hela huna, unajitahidi ufanye kazi hadi overtime...
  8. richard77

    Hivi atakuja tokea mwanamuziki zama hizi wa RnB kama Celine Dion

    eti kundi[emoji23]humu kuna watoto hawajui mziki, ila wanajitutumua kujifanya nao wakongwe[emoji23][emoji23]
  9. richard77

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Malizia hadithi hiyo
  10. richard77

    Kesi ya Agnes Doris Liundi - Nini hasa kilitokea?

    hakumtuhumu kwa uongo, inasemekana mama alivyokua chuoni alikua na mpenzi wa siri huku akiwa kwenye ndoa, na huyo mpenzi wa siri akampa maradhi ya zinaa, na yeye kuyabeba kumpelekea mumewe kumuambukiza,, ila mzee inasemekana alikua akihisi hayo mahusiano,, kosa mke kusema ukweli kwa mumewe...
  11. richard77

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    kwetu mayalla ni njaa, kwahiyo tunajua kwamba njaa inakusumbua, unajipendekeza ili upate uteuzi wa hata DC, ila ndo hivyo mzee ashakupa kichogo[emoji23][emoji23] wewe umebaki[emoji706]
  12. richard77

    Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    Nishafinywa usiku na mtu nisiemuona, nishapigwa makofi na mtu nisiemuona mchana kweupe nyuma ya nyumba yetu nikiwa nimelala kwenye mkeka, na mwisho tushamdaka mchawi usiku hakuganduka ndani pale sebuleni mpaka shangaz yetu mtaalam alivyokuja kumgandua, na nyumba tuliikimbia baada ya shangaz...
  13. richard77

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Upambanie nchi wakati hujajiimarisha kudhibiti vikwazo watakavyokuwekea, mfano wakikata misaada ya dawa za TB, ARV, MALARIA utapoteza ndugu wangapi katika ukoo wenu, kwa sababu tu ya kuwatetea wachumia tumbo na familia zao.
Back
Top Bottom