Search results

  1. mishe bwoy

    Swali kuhusu makampuni yanayotoa viwanja

    Habari wakuu!! Naomba kuuliza haya makampuni yaliokithiri kila kona siku za karibuni Yanatoa viwanja na mashamba kwa kulipa kidogo kidogo,,yan ukweli ndani yake??kuna mtu alishajaribu,,maana hadi saba saba walikuwepo na mabanda yao ila bado roho inasita ila wamenitamanisha,eb funguken wakuu...
  2. mishe bwoy

    Why TZ android Developers should target more countires ???

    Hiki kitu nilikuwa sijakifahamu, Baada ya juzi kati natengeneza campaigns kwe admobs za app zangu nakuta total reach ya wa TZ wenye uwezo wa kudownload app ni only 1.3M,,,!! hapo sijatoa wale hawajui hata playstore ni nini, kaz zao ni kupiha na kupokea simu na kuchat whatsapp,cjaweka wale simu...
  3. mishe bwoy

    Bloggers Kuna hii hapa inakuhusu

    1.Kwa anayhitaji adsense Ac anicheki ,ni Mpya kwa Sh elf 50 tu Moja -mbinu za kukuza RPM pamoja na mapato utapewa -na namna ya kuepuka kufungiwa hovyo 2.Anayehitaji group la facebook Lina members elf 60, kwa shilling elf 50! Tu link hii hapa BOFYA HAPA 3.Bloggers tatizo la Google kufuta...
  4. mishe bwoy

    Bloggers Kuna ujumbe wako hapa

    Outdated
  5. mishe bwoy

    Mwenye Youtube channel anaeuza nahitaji

    Kama una youtube ac ina suscribers kuanzia 2000 njoo DM tuongee biznezz
  6. mishe bwoy

    Kama una mpango wa kuvuta mkwanja kupitia YouTube pitia hapa

    Follow this link YOUTUBE MONEY
  7. mishe bwoy

    Natafuta Google adsense acount

    Niaje wakuu, nahitaji acount ya adsense ambayo ni Pin Virified acount (PVA) au ambayo imeshatumika kuchukua pesa at least once if unayo PM me
  8. mishe bwoy

    Google adsense

    Niaje wakuu, nahitaji acount ya adsense ambayo ni Pin Virified acount (PVA) au ambayo imeshatumika kuchukua pesa at least once if unayo PM me
  9. mishe bwoy

    Natafuta mwalimu wa Android Pragraming

    Nipo Dar,Nina Basic knowledge ya language kama HTML,pascal na java kidogo.So nilihitaji mtu anayejua android development anipe class na nitaongea na wenzangu tujikusanye kwa pamoja.So if interested check me 0755801248 Au kama unajua mtu anayefahamu tujulishane, Ahsanteni
  10. mishe bwoy

    Ipad3 16GB(white) and 64GB(black) for sale

    nauza ipad3 nyeupe 370000hii ipo kwenye hali ya upya bado imetumika kidogo. GB 16 retina display wiffi support haingii line ..Pia ipo ipad3 nyeusi yenye GB64 nauza 450k piga kwa maelezo zaidi 0755801248
  11. mishe bwoy

    Nauza Ipad3 zipo 2 za apple bei ni 400,000 na 500,000 tu 0755801248

    Nipo dar ,Nina ipad3 zipo mblili moja black na moja white zipo kwenye hali nzuri hazijatumika hata mwezi mmoja.. zinatumia wifi \ Black-64gb nauza laki5 white 16gb nauza laki4 0755801248
  12. mishe bwoy

    Natafuta account za adsense, kama unauza nickeki

    kama una ac ya adsense unauza ni PM.
  13. mishe bwoy

    Default Natafuta mtu wa kufanya kazi naye kazi ya bloging

    Kama upo tayari kufanya kazi ya kushare links zangu za blog kwenye groups za facebook nicheki.... Ac za facebook na magroup vyote nakupa ni wewe tu kupiga kazi na pageviews 1000 nakupa 1000tsh,,,,kwaiyo ukiniletea views 15,ooo unapta 15k tsh....ni wewe kusema unataka kwa week au kwa siku,,,ka...
  14. mishe bwoy

    Natafuta mtu wa kufanya kazi naye kazi ya bloging

    Kama upo tayari kufanya kazi ya kushare links zangu za blog kwenye groups za facebook nicheki.... Ac za facebook na magroup vyote nakupa ni wewe tu kupiga kazi na pageviews 1000 nakupa 1000tsh,,,,kwaiyo ukiniletea views 15,ooo unapta 15k tsh....ni wewe kusema unataka kwa week au kwa siku,,,ka...
  15. mishe bwoy

    AdSense account inahitajika haraka

    Ambaye anauza ac ya adsense anicheki tafadhali 0755801248
  16. mishe bwoy

    Natafuta Adsense account

    Ambaye anauza AC ya Adsense anicheki tafadhali 0755801248.
  17. mishe bwoy

    Je una PC? Kuna fursa...

    Mim ni mjasiriamali mtandaoni.... Nina shida na vijana wawili wa haraka kwa ajili ya kufanya kazi katika blog zangu sana sana wanafunzi au mtu kama huna mambo mengi unaruhusiwa ila muaminifu...Malipo ni juhudi zako mwenyewe. Utaratibu upo hivi Nakupa Ac za facebook na magroup yake then...
  18. mishe bwoy

    Je una PC?Hii ni kwa wanafunzi wanaotaka chochote kitu/hela kidogo ya kujikumi kupitia facebook

    Mim ni mjasiriamali mtandaoni....Nina shida na vijana wawili wa haraka kwa ajili ya kufanya kazi katika blog zangu sana sana wanafunzi au mtu kama huna mambo mengi unaruhusiwa ila muaminifu...Malipo ni juhudi zako mwenyewe. Utaratibu upo hivi Nakupa Ac za facebook na magroup yake then...
  19. mishe bwoy

    Je una ac za facebook na hauzitumii??? ingia hap tufanye bizz

    Niaje wakuu..Salaam kwenu Nahitaji ac facebook zenye mda kuanzia miez 6..kwa mweye nayo/nazo anitafute tuongee biashara nna kazi nazo sio kwa nia mbaya ni kwa ajili ya kufanya shughuli zangu za bloging....Shukrani ..Naomba ni PM
  20. mishe bwoy

    Naomba msaada nimfanye nini Huyu mwizi mchanga wa Mtandaoni ambaye anachipukia

    Kuna jamaa kajifanya mjanja hapa JF tumefanya biashara Nikampa mzigo wake akanitumia hela ilikua saa 4 usiku nikasema nikaitoe hiyo pesa kesho yake coz ilikua usiku sana..sasa yeye baada ya kupokea mzigo akapiga huduma kwa wateja kuwa amekosea kutuma pesa sasa so pesa ikarudishwa kwenye line...
Back
Top Bottom