Default Natafuta mtu wa kufanya kazi naye kazi ya bloging

mishe bwoy

Senior Member
Oct 26, 2014
116
34
Kama upo tayari kufanya kazi ya kushare links zangu za blog kwenye groups za facebook nicheki....
Ac za facebook na magroup vyote nakupa ni wewe tu kupiga kazi na pageviews 1000 nakupa 1000tsh,,,,kwaiyo ukiniletea views 15,ooo unapta 15k tsh....ni wewe kusema unataka kwa week au kwa siku,,,ka maelezo nicheki 0755801248

PC uwe nayo
 
Hii kazi ya kikoloni sana, yaani views 1000 kwa page yako ndio ulipe Buku ( 1,000) hapo Muda wangu, Laptop yangu, umeme wangu, Bando langu .... We akili yako inahitaji marekebisho sio bure.
 
Poa poa kaka..Sio mbaya ni mawazo yako
 
Back
Top Bottom