Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025.
Kampuni ya Pennyroyal Ltd imefungua kesi dhidi ya Zanzibar katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya...
Tatizo lako ni kwamba tangu ujiunge na MATAGA umejiondoa ufahamu. Kwani Katibu Mkuu ndio alimteua huyo Naibu Waziri aliyechapa watu viboko, au yule DC au yule DAS? Unakwepa kuuliza "Magufuli yuko wapi" kwa sababu nafsi inakusuta kuunga mkono utawala huu kandamizi usiothamini haki za binadamu...
Hilda hayupo Tz... kwa taarifa yako. Hizo ndo faida za uanaharakati wa kujitambulisha hadharani kuliko akina "Salary Slip" au "Erythrocyte" mnaojificha kwenye fake name 😊
Hivi huo unazi wenu unawatoa kabisa utu? Yaani katika ubinadamu wako hujaguswa kabisa na uhuni mkubwa uliofanyika jana na leo katika hicho unachoita uchaguzi, sijui ushindi, na upuuzi kama huo?
Sasa ni hivi, ndio mshindi atatangaza lakini dunia imeshuhudia uhuni wa kihistoria uliofanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.