Search results

  1. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Wish

    Toyota Wish au rush?. Heading Wish , maelezo Rush
  2. N

    Kwanini bei ya bati za Alaf ni kubwa sana kuliko za viwanda vingine?

    Pia Sunshare nao wako juu bei zao na quality iko vizuri kama Alaf. Ila kwa kutambua hasa wanunua bati hawaangalii bati ukubwa na urefu. Wao upana uko chini kidogo ukilinganisha na Alaf . Halafu bei chini. Ukitafuta square metre unakuta Alaf bei zao ziko chini
  3. N

    Maulidi Kitenge vs Salehe Jembe, Oscar Oscar na wengine

    Nafkri kazi rahisi kuliko zote ni kuchambua mpira.
  4. N

    Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Nenda Aghakan kama mfuko unaruhusu. Nilipata shida ya mtoto kama hiyo bahati nzuri alikuwa na miaka 1 na miezi 2. Walikuta ni kilimi(sikumbuki kitaalamu) ila alikuwa anapata shida ya kupumua usku hasa akilala na homa za mara kwa mara. Walimfanyia operation ndogo akapona. Tatizo ulikuwa ukimpa...
  5. N

    Mahakama yatoa hati ya kumwita Mbowe na wenzake leo kuendelea na kesi

    Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba tumesahau katiba. Ambalo ndo lengu kuu la kumtia hatiani Mbowe. Siku wakiona inafaa watafuta kesi, tutashangilia kumbe lengo limekamilika
  6. N

    Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Ok. Nafikiri sasa hivi inspection inafanyika baada ya kufika. Approval of payment ndo muhimu
  7. N

    Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Huduma za mwanzoni kama approval ya kupokea hela,inspection certificate umepata?. Kama tayari waulize meli gani wanategemea kutumia. Hii itakupa mwanga zaidi na kukuondolea panick. Kwa kifupi taratibu ya makampuni yako sawa. Upande wa booking inategemea vessel availability mara nyingi ni wiki 2...
  8. N

    Kibao cha Kilometa 50 hakipo kutoka Korogwe kuelekea Wami

    Hiyo ni kweli, na wanatengeneza sana hela eneo hilo.
  9. N

    Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

    Mnamuelekeza aina ya gari ya kununua kwa bajeti yake ya 1.5m?
  10. N

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Ref ina anza na 99... jua ndo control #. Ukilipa kwa transaction ya simu kabla ya mwisho kubali itaonesha kama iko sawa. Ila hakikisha una hela inayolingana au kuzidi hiyo 55000 vinginevo itagoma
  11. N

    Naomba kujuzwa jinsi ya kulipa faini za barabarani

    Kiongozi ukiandika hapo namba yako ya gari unapata hadi control #
  12. N

    Naomba ushauri kuhusu bati bora na ambayo haipauki

    Kama ukikosa ALAF nenda Sunshare. Hutojutia. Hawa watu wanaagiza sheet kutoka China na South Africa wao ni kutengeneza profile tu. Fika kiwandani mtaani utaambiwa ni Alaf au Sunshare baada ya miaka 3 utaanza kulaumu kumbe ulipigwa kipindi unanunua
  13. N

    Natafuta gari ya kununua

    IST ikikufaa ninayo. Ametumia mwanamke kwa miaka 3.
  14. N

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mwenye kuhitaji spare za toyota Belta anitafute. Ninazo
  15. N

    Dereva wa bajaji anahitajika

    Uko sawa kiongozi. Ndo shida ya vijana hawataki kufanya kazi. Anatafuta Bajaji ili nae awe Boss
  16. N

    Dereva wa bajaji anahitajika

    3.8m each
  17. N

    Dereva wa bajaji anahitajika

    Madereva wasumbufu kwenye hesabu. Na wenyewe wanawapa day worker ajali za kila mara. Mda wote ni kuwasiliana nao utafkri na mimi nimekuwa dereva. Kazi zingine zinasimama. Imagine kwenye madereva 6 wa nne wasumbua. Siku yote inaharibika
  18. N

    Dereva wa bajaji anahitajika

    Sa hivi naziuza. Madereva ni wasumbufu. Ninazo 4. Mbili namba CR nyingine BZ
  19. N

    Tundu Lissu: Spika Ndugai kati ya Wabunge wetu na Rais Magufuli nani Mtoro?

    Lisu nini kimempata? Alikuwa vizuri kwenye kutetea hoja. Kwa sasa anatumia makosa ya Mkuu kama Kinga kwa Wabunge wa Chadema. Ajipe mda kuna siku atakuwa sawa au kwa vile hashiriki kwenye vikao vya maamuzi inabidi tu atetee hata kama maamuzi hayako sawa. Wabunge jana tu watatu wamekiri wenyewe...
Back
Top Bottom