Search results

  1. terabojo

    Vijana wa shule za msingi na uchumba, Nyanzwa

    Wana JF, Kuanzia Februari had June nililima vitunguu na kuvuna katikati ya mwezi uliopita. Nililima katika kijiji cha Nyanzwa ambacho ni kilometa 58 kutoka Ruaha Mbuyuni ukielekea Iringa. Kule nilisimuliwa mambo mengi na moja ambalo lilinishtua ni kuambiwa kwamba watoto wa kike ambao...
  2. terabojo

    Ekari 50 zinauzwa huku kijiji cha Kivinja B, unaingilia jaribu mpakani

    Wana JF, Kuna ekari 50 za kijiji cha Kivinja B zinauzwa zote kwa Shs. 20,000,000/= tu. Anayetaka awasiliane nami: terabojo@gmail.com Ukiafikiana na uongozi wa kijiji utalipa kupitia katknakaunta ya kijiji katika tawi lolote la NMB. Mwambie na mwingine.
  3. terabojo

    Tiba ya kisukari

    Wana Jamiiforum, kama wiki mbili zilizopita nilibahatika kusoma habari za padri wa kanisa katoliki huko Bukoba. Kifupi alipelekwa Muhimbili na akalazwa ICU kwa ugonjwa wa kisukati na figo. Wakati anatayarishwa kupelekwa India akapata habari za kuwepo tabibu wa kisuka kwa jina la Dr John Kidua...
  4. terabojo

    Risasi za rindima uwanja wa ndege wa bukoba jana jumanne

    Jana Jumanne tarehe 8/7 tukiwa katika chumba cha kuondokea katika uwanja wa Bukoba zilipigwa risasi mbili ndani ya jengo sehemu ya kuchekiwa wasafiri watarajiwa. kwanza ilipigwa moja wote tukalala chini, mara ikapigwa risasi ya pili watu tukatoka nje tukaruka kifenci na kukimbilia uwanjani...
  5. terabojo

    Mashamba yanapatikana kivinja b - wilaya ys rufiji

    Wana JF kwa mara nyingine ninapendakuwaarifu uwepo wa mashamba - zaidi ya eka 40 katika kijiji tajwa hapo juu. Kwanaopenda wawasiliane na mimi na nitawaunganisha na wanakijiji wenzangu wenye mashamba yao. mtu akikubaliana na muuzaji watandikishana katika ofisi ya kijiji pasipo usumbufu. Kivinja...
  6. terabojo

    Mashamba ya kilimo

    Wana JF, mimi ni mwanakijiji wa Kivinja B. Nina viwinja vya makazi na kuna jirani zangu wengine wana ardhi inayofaa kwa kilimo na hata kuwekeza kufaa mifugo shule na mipango mingine kutegemea na uhitaji na matakwa ya mmiliki. Ni jumla ya eka 40. Pia plot za mita 20X50 zipo na kijiji kimepimwa...
  7. terabojo

    Tangazo lakutaka mume

    Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke...
  8. terabojo

    Saa za kufungua na kufunga bar na "grocery" za bia mitaanai

    Wana JF. uelewa wangu mdogowa sheria ni kwamba bara zinatakiwa kufungwa saa 5 na grocery haziruhusiwi kuuza bia na badala yake zipo kumuwezesha muhitaji wa bia/vinywaji anunue na kupeleka hivyo vinywaji say nyumbani kwake. leo hii bar na grocery nyingi hapa Dar zinafunguliwa na kuuza bia/ulevi...
  9. terabojo

    Vyombo/Waandishi na fadhila za makampuni

    Wna JF, naomba tujadili mtindo/tabia ya watajwa juu kushiriki ktk matamasha au events za makampuni mbali mbali - iwe michezo au get together- na dhima ya kuzuia rushwa! Wakishiriki ktk events au matamasha hayo wanabaki na uhuru gani wa kuandika/kutoa habari bila upendeleo? Tujadiri
  10. terabojo

    Kuadhimisha Mapinduzi Zanzibar

    Kheri ya Mwaka Mpya Wana JF, jana jioni nilipokea ujumbe (txt msg) ukisomeka ifuatavyo "Tuadhimishe mapinduzi au tuililie Zanzibar? Jee unajua: ZNZ ilikuwa na taa za barabarani kabla ya London! Gari ya mwanzo kuingia Kuwait ilitoka ZNZ! Meli zote Afrika Mashariki zilichukua maji Zanzibar na...
  11. terabojo

    Jeshi la polisi - na leseni mpya za class c

    Wana JF napongeza uamuzi wa waziri wa mambo ya ndani kutoawiki moja zaidi kwa watu na hasa madereva wa mabasi na magari makubwa ili waweze kupata hiyo leseni mpya. Wasi wasi wangu ni kwamba hiyo wiki haitoshi kwa kuwa kama mtu hana inabidi akapate mafunzo ktk chuo cha usafirishaji - si chini ya...
  12. terabojo

    Maboya katika vivuko vya kwenda kigamboni

    Wana JF, jana nililazimika kwenda kigamboni kupitia ferry kwa kutumia moja ya kivuko kipya. Ni kikubwa na kinachukua watu wengi pamoja na magari. Wakati tunavuka nilkumbuka ajali ya meli iliyozama hivi karibuni huko Nungwi Zanzaibar na nikakumbuka simulizi za baadhi ya watu walio salilika...
  13. terabojo

    Sumatra na usimamaizi mbovu wa vyombo vya usafiri - hasa mabasi

    Wana JF, kutokana na ajali za kila siku za mabasi ya safari ndefu na dala dala mijini na hii ya meli zanzibara ninaomba nitoe hoja ifuatayo: SUMATRA ambao ni wenye jukumu la kusajili kutoa leseni na kusimamia usafiri wa nchi kavu na majini (hasa kwa bara) ni wavivu na wanafanya kazi zao kwa...
  14. terabojo

    waziri na Katibu Mkuu wa Wizara nani mwenye mamlaka na madaraka katika uamuzi na uten

    Wana JF nisaidieni n iweze kuelewa nani kati ya hao anao uwezo wa lutuletee neema kiutendaji na kufanikisha malengo ya wizara husika?? Binafsi ninadhani Katibu Mkuu ndio hasa "engine" ya wizara na kwa umoja wao serikali. Waziri anakuja na kuondoka - wizara ya mabo ya ndani ni kigezo. Je, wewe...
  15. terabojo

    Star times na usumbufu/utapeli wao

    Wana jf mtakuwa ama mumeona au hata kununua vingamuzi (decoder) na antena za kampuni ya star times ambayo ni mshiriki wa tbc katika mambo ya tv. Jirani yangu alinunua decoder hiyo kwa shs. 79,000.= na akaelekezwa namna ya kufunga na kuanza kutumia/kupata picha. Kifupi ilimchukua siku 9 (baada...
  16. terabojo

    Nami nimejiunga nifaidike

    Wanajamii Mpo? Mpo ndio. Nami nimechoka kuambulia kiduchu katika anga za jamii forum na nimeonelea bora nijiunge kikamilifu na leo najitambulisha.
Back
Top Bottom