Mashamba yanapatikana kivinja b - wilaya ys rufiji

terabojo

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
215
45
Wana JF kwa mara nyingine ninapendakuwaarifu uwepo wa mashamba - zaidi ya eka 40 katika kijiji tajwa hapo juu. Kwanaopenda wawasiliane na mimi na nitawaunganisha na wanakijiji wenzangu wenye mashamba yao. mtu akikubaliana na muuzaji watandikishana katika ofisi ya kijiji pasipo usumbufu. Kivinja B ni kijiji rasimi kilichopimwa na serikali. Napatikana kupitia namba: 0754 488922
 
Back
Top Bottom