Search results

  1. P

    TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Ooooooh! Hallejah.... Mdogo wangu kapigwa Mzumbe so atanifata kaka yake. Praise be to Jehovah forever and ever.
  2. P

    Ameshindwa kwenda chuo kwa sababu ya ada

    Mkuu ni wewe au rafiki yako?
  3. P

    List of Applicants with Multiple Selection and Their Allocation into ONE Institution

    Hahaha mkuu kweli ni shida! Ngoja tusubirie epsode nyingine kama hatutasikia kuwa posts za vijana zimefutwa so vijana waanze kuaply upya..
  4. P

    List of Applicants with Multiple Selection and Their Allocation into ONE Institution

    Sasa mkuu hivi hao vijana ni wale walioaply directly kwenye vyuo na tcu in both hadi wakapelekea multiple selections au ni makosa ya tcu wenyewe wakawachagua vyuo zaidi ya kimoja? Ufafanuzi please
  5. P

    List of Applicants with Multiple Selection and Their Allocation into ONE Institution

    Mazingaombwe ya tcu hayaishi aisee.. Sijui hii ni epsode ya ngapi! Mara transfer mara sijui nini duuh..
  6. P

    Diwani wa kata ya ubungo CHADEMA, Jimbo la Ubungo

    Namkubali sana huyu kamanda mi pia amewahi kuwa mwalimu wangu. Salute to him.
  7. P

    Mzumbe University Selection 2014

    Ooooh the Military university or The Havard of Africa, am so proudly to be at that wonderful community. Hallelujah.....
  8. P

    Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

    Hivi wewe kijana unajielewa kweli? Kwahiyo UDOM kuna kozi ya urubani hahahaha dah! Kweli BRN ni majanga hasa.
  9. P

    Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

    Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.
  10. P

    Mwanachuo UDOM jela miaka 6

    Fundisho wapi mbona wakina Riz1 na madawa ya kulevya lakini ndo mnawapa na ubunge kama reward kwanini nao wasifungwe ili iwe fundisho? Au watoto wa maskini ndio huwa sample.. Agrrrrh
  11. P

    Mwanachuo UDOM jela miaka 6

    Dah inamana jamaa hapewi hata muda wa kumalizia chuo?
  12. P

    Sony xperia z going cheap

    Chukua laki na nusu kaka.
  13. P

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Tupo pamoja mkuu hata mm nakuja kupiga msuli hapo kwenye kozi ya maswala ya urubani so tuombeane uzima tu.
  14. P

    Msaada nakufa mwenzenu

    Mkuu tafadhali naomba tuheshimiane, maswala ya kumuita ladypeace bibie naomba uache kuanzia leo.
  15. P

    National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Hiyo page ya Nacte fb ni fake jamaa ni wababaishaji tu mfano juzi hapo walisema eti posts za mzumbe zipo tayari eti wanazitoa lakini wapi hadi sasa zimepita siku 5 makavu tu.
  16. P

    Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Unajua Mzumbe ndio kama last bomb so vijana wengi presha.
Back
Top Bottom