Search results

  1. GANJA ROLLER

    Kwanini mtu azikwe akiwa kalala chali?

    Naomba mnisaidie jibu,maana nimeona watu wakiwekwa iwe kwe jeneza au ile yetu ile akiwa chali,kwann asilazwe kiubavu au kifudifudi?.Ni hayo tu wana
  2. GANJA ROLLER

    Wapi nipata ngoma hizi kali za Hiphop

    Naomba anayejua link au aliyenazo track hizi aweke hapa au anipm *Tangazo-Mr Vs *michano-Bandago ft mr vs *boss-bwv *haki-2proud ft Justine Kalikawe *fani si utani-ras lion *mzuri-maliki ft Q chief please naomba msaada wenu wana Jf
  3. GANJA ROLLER

    Nahitaji king'amuzi cha startimes used

    Nahitaji king'amzi hicho ila kiwe cha dish sio antena. Alie tayari anisanue kwe 0783881828
  4. GANJA ROLLER

    Chindoman - Tumboni: Bonge la track kwe hiphop kwa mwaka huu

    Jana nimesikia track ya mchizi Chindo unayoelezea story za mwana wa ndichi ila nimejaribu kuitafuta lkn mwisho wa siku dolo.Plz mwenye nayo ani Pm au aweke link niiendee kwa ju.Amani
  5. GANJA ROLLER

    Hatupangi walimu mjini wala maeneo ya karibu na mjini

    Hayo yalikuwa maelezo ya afisa elimu mmoja aliyekuja ofisni kwetu akimwelezea mwalimu aliyekuwa kaja ofisi kwetu kufatilia masuala ya mshahara wake kisha alipomwona afisa yule akaanza kumwomba mgao wa waalim pindi watakapolipot.Jamaa aligoma akdadai kidogo watakaofikiliwa ni wa sayansi ila nao...
  6. GANJA ROLLER

    Kala Jeremiah ft Roma - Nchi ya ahadi

    Japo Kala kamficha vibaya sana mchizi wa kitanga lakini idea ni kama ya kikao cha dharula ya Prof Jay ISIKILIZE VIZURI UTANAMBIA
  7. GANJA ROLLER

    Bushoke ft Byser & Dully sykes-Angel Bonge la truck kwa mwaka huu

    Japo mwaka ndo uko mwanzo ila hii ngoma wana wamefanya kweli,kiasi fulani nauona mziki wetu ukielekea kule nako kufikiria siku zote, sio Nigeria sijui Afrika magharibi ninini huko. Ila wakongwe ni wakongwe tu.
  8. GANJA ROLLER

    Hii ni aina gani ya maneno

    Tangu jana hajafika hapa hapo kwenye blue ndo kuna tatizo
  9. GANJA ROLLER

    Tatizo la mtoto kutokutembea kwa wakati

    Mwanangu ana mwaka 1 na miezi 9 sasa lakina bado anatambaa tu na kusimamia vitu pasipo kutembea.wenzake walozaliwa pamoja hata nyuma yake sasa wanatembea lkn ye bado.Tatizo nini jamani mwenye kujua anisaidie jamani
  10. GANJA ROLLER

    Japo sio shabiki wa Diamond, ila 'ngoma' aliofanya na P-Square ni 'kali'

    Sio kwamba nafatilia sana ngoma za kuimbaimba ila kwa hii track janki kafanya poa sana hadi kawaficha wale jamaa kwe hiyo ngoma
  11. GANJA ROLLER

    Nini tofauti kati ya C band na KU band?

    Sometime kuuliza ni kutaka kujua zaidi,,mi jamani sijui tofauti kati ya C band na KU band kama vipi naomba mnijuze na pia endapo nitatumia Lnb za KU band kipi nitapata chanel zipi na C band kadhalika. PEACE.
  12. GANJA ROLLER

    Kala Pina alegezwa na Ommy Dimpoz kwenye Good time

    Hakika kwe ngoma ya Kalla Pina alomshirikisha Dimpoz mchizi kalegea sana.Zile mishe zake za kukaza ka pindi ile hakuna,dizaini kama vile alikuwa anabana pua ili asifichwe na Dimpo. Kweli nimeamini Hiphop ya ukweli iko Amerika Bongo njaa tu.ila naamini yeye hafurahii kufanya kazi ka ile ila njaa
  13. GANJA ROLLER

    Chelsea ujanja wake London, akifika jiji la Manchester analegezwa

    Nimefatilia kwa mwaka huu ujanja wa hawa jamaa ni kule kwao wanapokutana na wajingawajinga lkn wakidondoka mji wa watu wanakatwa minyororo yote.Si Costa wala nani wote kimya.Chunguza utanambia
  14. GANJA ROLLER

    Nani makocha wa hizi team? Mbona mi siwajui

    Nimekuwa nikisikia hapa JF kuna team mbalimbali lakini makocha wa team hizo siwajui.Utasikia eti #Team Bazazi,Team wakaangasumu,Team wemasepetu,Team Diamond Hivi hizi team makocha wao ni akina nani,wanatumia viwanja gani hushiriki ligi gani? ONE LOVE IN JAH PEACE ALL RASTAFARIE
  15. GANJA ROLLER

    Kwanini mashabiki wa Arsenal wanapenda kumtukana Wenger

    Nimefuatilia sana mashabiki wa Arsenal nikagundua kuwa ni watu wakulalamika sana tena wakimsonga Wenger. Mfano mwaka jana walilalamika pale mwanzo wa ligi kisha wakatulia mpaka baada ya sikukuu za Xmass na mwakampya wakaanza tena. Jamani nyie wafatiliaji wa masuala ya soka hebu nijuzeni sababu...
  16. GANJA ROLLER

    Ushauri wa kitaalamu kuhusu mimea

    Peace and Love all rastafrie, jamani kwa mwenye utaalamu wa suala hili anisaidie.Hivi kwanini mtu ukivuta bangi bila kuichanganya na sigara huwa unasikia kama mishipa ya kichwa inauma lakini ukiichanganya haiumizi.Kuna tatizo gani katika dry na sio mixer. ONE LOVE IN PEACE OF JAH!
  17. GANJA ROLLER

    Je! naweza kupata Clouds TV kwenye dish la FTA?

    Hey! Rastafarie, Ninaomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata hii chanel kwenye dish la FTA na kama inawezekana unatumia receiver gani ?
  18. GANJA ROLLER

    Hey! Ma people and Rastafarie

    Mi ni muumini mkubwa wa imani hii ya kirastafarie na nimekuja kwenu ila naomba mnipokee. ONE LOVE IN JAH PEACE
Back
Top Bottom