Search results

  1. S

    Visa vya Wamakonde

    Mwanamke mmoja aliyekua akiishi vijijini alitongozwa na wanaume wawili Wamakonde katika siku moja basi kwa maksudi aliwapa miadi katika pori saa za usiku . na wote aliwapa miadi pahala palepale. Huyu mwanamke alifika pale pahala saa moja kabla ya wakati na akapanda juu ya mti na kujificha...
  2. S

    Tension

    One man was driving his car some where on the village , on the way he saw a girl crying , he stopped and ask the girl why she was crying , the girl reply that she is sick. The man took her to the nearest Hospital , straight she was sent to the doctor, after one hour the doctor came out and say...
  3. S

    Utani wa wahindi

    Wahindi walikua wakimtania Mhindi singa singa wakasema kua Masinga singa wote hua wendawazimu ifikapo saa 6 kamili za Mchanana wakasisitiza kua hii sio utani bali ni kweli. singa singa mmoja akahamaki sana. ela siku iliyofuata akaenda kwa yule aliyesema hivyo kiasi saa 5 na dakika 50 ili...
  4. S

    Muhindi siga singa

    Soma hichi kisa cha mhindi singa singa. siku moja mhindi singa singa alipanda treni kuenda mikoani , kwakua alikua na pesa na safari ilikua ndefu basi ilibidi akate tiketi ya daraja la kwanza. hivyo alipata chumba na ndani kiko choo na wasafishaji huwa wanakuja kusafisha kila baada ya muda. Huyu...
  5. S

    Hospitali ya mkoani

    Just for quick introduction hii Hospitali ilijengwa kwa msaada kutoka China, na madakitari wake pia kutoka China. Sasa miungoni mwa madakitari alikuako mmaja kwa jina akiitwa Ha-Ni-Sii na mwengine anaitwa Basham. Ok , siku moja alifika mwana dada mmoja kutibiwa , alikua anaumwa na tumbo. Huyu...
  6. S

    Ng'ombe mkali

    Kule kisiwani pemba mchezo wa n'gombe ni maarufu sana na kuna n'gombe wengi wakali na wachezaji stadi. any how kulikua na n'gombe mmoja mkali kupita wote kwa umaarufu anaitwa KIPOLE. Sasa stori ni kua mtu mmoja wa makamo alikua akilima kwenye kajishamba kake na ikafika wakati wa kusali ...
  7. S

    Mpanda baiskeli usiku bila ya taa

    Siku moja mtu mmoja jijini Dar aliendesha baiskeli usiku bila ya kua na taa, kwa bahati alikutana na askari mgambo na akamsimamisha kwakua hakua na taa. sasa maongezi yao yalikua kama ifuatavyo : Mgambo : Jee mzee wapi Taa. kijana aliepanda baiskeli nae akajibu : Ndio napitaa. na akaendelea na...
Back
Top Bottom