Search results

  1. M

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    naomba usimdharau mumeo wala kumtesa,koz remember what goes around comes around
  2. M

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    pole dada kuwa na mwanaume kochi,hana kazi yeye ni kukaa kwny kochi na kugombania remote na watoto,anyway yote majaaliwa.ila huo ukali na manung,uniko yake ni kutokana na inferiority complex alinayo koz hana kazi anahisi unamdharau,pole sana,kaa nae chini mwombe msaada tu akusaidie atakuelewa.
  3. M

    Mke wa rafiki yangu katolewa mimba na rafiki yangu

    kaka,nahisi huna ndoa,basi acha tulio ndani tuyacheze masebene,we ulie nje angalia tu hujui yanayojiri ndani,kaa kimya utashikishwa ukutwa,ohoooo
  4. M

    Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

    atakua kajifunza,msamehe mkae chini muongee,madogo hayo yanaongeleka.kuna makubwa kaka,acha kabisa.nenda kamtoe ndani,ili usipandikize mbegu ya chuki ndani ya moyo wa mkeo.
  5. M

    Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    fanyeni kila siku,cha msingi msibakane,i min wote muwe tayar kimwili na kisaikolojia,ku do raha.ila sasa kazi yako isiwe ndo kila siku hauko tayar kisaikolojia na kimwili koz ya uchovu,walah utagigidiwa mke.
  6. M

    Hamu ya kufanya mapenzi na walionizidi umri

    kavurugwa huyu achaneni nae.leteni mada za maana sio mada za kutuambia wewe ni nani,kama huna mada tafuta jimama
  7. M

    Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

    dada,tafuta wako uwe nae benet,achana na mume wa mtu,unajua ana mke na unajua wanaume ni dhaifu kiasi gani,usiharibu mahusiano ya watu ndani,laana itakua juu yako,acha kabisa,eti ushauri,mhhh
  8. M

    Usaliti katika ndoa

    mhhh,ni ngumu kwa mwanamke kusamehewa,ila wanawake tunaroho za huruma sana,huwa tunawasamehe,so uamuzi wa kusamehe au kuacha anao mume,nyie mnapoteza muda tu
  9. M

    Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

    unajishtukia bhana,lakin it sounds ni madongo ya kweli ndo maana yanakuuma,hahah:A S 11:
  10. M

    Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

    mteule wa mungu huyo,malaika wake mlinzi anamlinda na kutembea nae,ndo maana anasema huwa anaongea nae usiku,na hiyo mishumaa ni malaika mlinzi kamwangazia,miwili uliwasha wewe na miwili iliongezwa na malaika mlinzi,roho yake safi anauwezo wa kuona yote hayo
  11. M

    Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

    kama wewe ni mkatolliki,tafuta padre na wachungaji,waelezee,then wao watakushauri na kumwombea,watoto huwa wanaona vitu vingi sana wakati wa usiku,so usipuuze bhana ,mungu amsaidie
  12. M

    Hakuna perfect relationship duniani

    hata biblia inasema samehe mara 7 mara 70,ila jamani kuna kero za ajabu sana ktk mahusiano,na wengine esp wanaume they dnt care vitu wanavyofanya,wanadhan wanawake tuna roho za chuma,kuna kuchoka jamani,maana ingekua maudhi yanaacha tobo,hakuna moyo wa mwanamke hata mmoja duniani wenye nafas ya...
  13. M

    Zijue aina nne (4) za michepuko

    alutakontinyua michepuko,inapunguza gubu na stress ktk njia kuu,kiroho kwatu
  14. M

    Hadithi mpya ya kusisimuwa uchawi wa mama mkwe

    tunasubiri mwendelezo wajameni,umeingia mitin na hadithi nzuri
  15. M

    Girlfriend wangu simuelewi

    hahahahhaaa,ni shiiider,kingreza sio kibaya,labda anaandika na machungu.jamani kupenda sio mchezo,mchunguze nawewe ifanye unampotezea kidogo,kengele itagonga kichwani mwake,wanawake huwa tunakereka kama mwanaume atanipenda sana na kujifanya anajali sana.inshort bichwa lake kubwa koz anajua huna...
  16. M

    Sina mapenzi naye tena, ushauri wenu tafadhali

    wanaume wote wamezaliwa na baba na mama mmoja,hawana tofauti hata kidogo,so have courage,samehe uolewe kama unahisi japo ana qualities unazozitaka....jiandae mdogo wangu kwny ndoa ndo balaa,utaacha mara1000 usipokua makini,ni shiiiiiiiiiiiider
  17. M

    Wanaume wengi huoa wanawake wapole,wasio wabishi, na wenye hofu ya mungu

    Wanawake wengi tulioolewa huwa tunabadilishwa na tabia za wanaume,koz wanaume wengi ktk mahusiano sio wakweli,wakishaoa ndo utashaa,anayatoa makucha utadhani unaota kumbe ndo ushaolewa kweli.so wanaume kuweni wakweli na muwe halisi mnapotaka kutongoza mpk kuoa :angry::angry:
  18. M

    Ukishazaa tu ndo ujiachieee

    mpe muda kaka,atabadilika,tafuta maneno mazuri ya upole umwambie ukweli,ila angalia asiyapokee negative,ikiwezekana pale anapokosea mrekebishe,umfulie,akisahau kuvaa bra mkumbushe na umnunulie kama ni nguo zake zakukera
  19. M

    Wanaume pia nao hushikwa/hufujwa na wake zao na hawapumuwi

    eli79,nimekukubali,huku kwetu ni malimbukeni wa mapenzi,kama kushikwa na kukaliwa kwa mwanaume ni kule kumpenda mkewe,kumsaidia na kumjali,basii aluta kontinyua kukaliwa
Back
Top Bottom