Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,677
- 13,099
Last edited by a moderator:
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake.
Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa mtu wa kujiachia tu tofauti na awali akija getho atapiga deki hata mara tatu kwa siku lakini sasa hivi inaweza ipite asipige kabisa, chakula chenyewe cha kawaida kabisa wakati zamani hata kama ni tembele basi ataweka na kachumbali.
Mwanzoni nilimkubali sana kutokana na jinsi alivyo ni care lakin sasa mh! Ziwa lenyewe analiachia mpaka limepoteza mvuto wakati zamani ukigusa sidilia tu anaruka na kuongeza chachu ya kuduu na tukiwa chumbani ndo kabisaa yaani nimemzoea mpaka basi, mpaka mvuto umeisha sasa najiuliza sijui ndo 'ufyele' au hii hali itakuja badilika. nataka muoa kabisa ila hii hali inanitisha jamani sijui ni airishe tu lah.
Hamna kitu km kubemenda ,acha uswahili.Angaliene msije kumbemenda huyo dogo.
Nalog off
Miss chaga punguza vituko!Atafute mwanaume wa kumtongoza mkewe to be?
Breaks my heart.Hapo ukute ni CS afu mtoto wa kwanzWiki 2 bado sana,msaidie mkeo kulea.
...najiuliza sijui ndo 'ufyele' au hii hali itakuja badilika...
Breaks my heart.Hapo ukute ni CS afu mtoto wa kwanz
wiki 2 hata mgongo ushakaza kweli?
Kaka kipindi hiki unamuonea bure, mtoto anamshughulisha sana!! Kumbuka mtoto anategemea maziwa ya mama pekee so hatakiwi kutumia mafuta yao ya kemikali atashika ziwa mtoto anyonyee ushangae unaanza kuuguza maradhi yasiyoeleweka!!
Unatakiwa uwe mwerevu sana kama baba la sivyo mtaua mtoto!! Harufu za madawa ya nywele, mapafymu na mafuta makali yenye kemikali za zile poda havitakiwi kabisa kabisa!! Mtamuumiza mtotot, we cha kusisitiza awe msafi bila kutumia chochote kwa minajili ya afya bora ya mwanao!!
Kuhusu kupika kaka na wewe ingia mzigoni inapobidi, malezi ni mambo mengi sana na yanachosha!! Utakuta wewe ulipoondoka kwenda kazini mtoto kalia muda mrefu, amuache akukatie wewe kachumbari?? Au mtoto alilia usiku kucha, kwa nini mchana asipate muda wa kupumzika kama wewe ambavyo ulipumzika usiku yeye anabembeleza mtoto??