Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

Kwani hana ndugu ,marafiki ,majirani wenye wasap wanaoheshimiana mpk aandike ivo au sim no yake unayo ww tu?? .
 
Kwanini usimkatazie mkeo kumiliki simu yenye apps ya whatsApp.
Lala kwanza halafu uamke tena maana naona akili umeacha kitandani.
 
Wadau ilishaletwa thread hapa kuhusiana na hizi status na profile picha za watsap, mkewangu ni muathirika wa hili, status zake za ovyo yan kana kwamba hajaenda shule,

Profile picha zake ndo usiseme ni balaa, yan tukikwazana kidogo tu ananimaliza kwenye status za ajabu jaman, mara utaona "umalaya utakuua", mara "ukianzisha nalianzisha" mpaka nachoka jaman, sasa mi nimeamua kufuta tu namba yake na wala si save tena yeye pamoja na watu wengine wenye tabia kama hzo ilimradi nusione tu upuuzi wao kudadadeki zao.

Hahaha umenichekesha kweli kweli. Hizi ni challenges za kizazi cha sasa especially sababu ya haya mapinduzi ya kiteknolojia.

Kwa mfano mimi na mke wangu:

Tuko active sana kwenye mitandao yote, twitter, facebook, insta, whatsapp etc. Tukikwaruzana tunakuwa na bifu mimi na yeye TU.

Nakumbuka maneno tuliambiwa ushauri kabla na hata siku ya ndoa, tukikwaruzana tumalize sisi wenyewe.

Kiukweli ina tempt sana kupost watu waone ILA sio dili.

Kaa na mkeo kiupole sana. Mueleweshe madhara ya kupublicize mambo maana mnawapa watu sinema. Kama akiendelea kupost usichoke kuendelea kumueleza(kiupole na in a positive way zaidi) tena na tena. Ndiye wako.

Namba kufuta si tatizo maana unaijua.
 
Ha ha ha ha ha watu8.. Hii kali.. Ila mie shaka yangu ni moja.. Inaonekana huyu bwana hana ubavu kwa mkewe.. Na inawezekana mkewe amejinunulia mwenyewe hiyo simu.. Sasa achague nusu shari avumilie au shari kamili amnyang'anye nyumbani kusikalike lol..

Nimemnunulia mwenyewe kwa pesa yangu li s4 enzi hzo 12000000 ila sasa ndo linaniazibu aisee
 
Last edited by a moderator:
Kuuliza si ujinga huenda mimi nimepitwa na wakati, kwani zile status za wasapu nazo ni za watu kucomment? Maana mimi nachukulia tu tag ya wisdom words au mtu ajuwe mimi ni mtu ninaeamini nini.

Thats why status yangu wasapu ni moja tu na sijawahi kubadiri pia magroup kwenye wasappu sitaki pia sipendi kuwa mtumwa wa simu yangu mwenyewe.

wewe kama mimi mkuu
 
Inawezekana kweli mdau coz namba zote anazozishuku kwenye cm yangu huwa anachukua na kuzisave na na nakala zingine kwenye diary yake nimebadirisha password kwenye cm mpaka google wakanionya kuwa wana wasiwasi na mimi aisee

Kumbe wewe ndo unayesababisha hizo status,acha kuchepuka,baki njia kuu!
 
huyo ni mkeo au dem wako? si umkanye sasa,,,, we mbwiga kweli.... umeshindwa mwenyewe hapa ndo watafuta msaada......au una ajenda ya kutaka kudandia mchepuko.......haya baba.....
 
Kumbe wewe ndo unayesababisha hizo status,acha kuchepuka,baki njia kuu!

Hapana cyo cky zote mdau mara mojamoja walau cyo mbaya coz usipofanya hvo u gona loose confidance ya kutongoza aisee
 
Hapana cyo cky zote mdau mara mojamoja walau cyo mbaya coz usipofanya hvo u gona loose confidance ya kutongoza aisee

Hivi nyie wanaume mkoje?? kwann huridhiki na mkeo?? agrrrrrrrrrrrrrrr
 
kumfanyia hivo atakuwa katafuta makubwa anaweza hata akaachwa,hawa wake zetu waliosoma nayo tabu.
c.c MO11

Angekuwa mchepuko asingeleta tabu angekuwa anaandika maneno ya mahaba
elimu yake tafadhali
cc kzba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom