Hamu ya kufanya mapenzi na walionizidi umri

Dunia inamambo. Ebu fanya uchunguzi apo nyumbani umri wa baba yako na mama yako kama mama kamzidi baba huna tatizo lolote endelea tu.
 
kuhusu suala LA hela ondoa shaka mkuu Sema kitu kingine
Unaweza ukawa na vijisente vyako ukaishia kubeba machangudoa tu, kuwa na vijipesa siyo kuwa ndiyo unaweza kutongoza, we huoni matajiri wanatogozewa mademu?
 
Unaweza ukawa na vijisente vyako ukaishia kubeba machangudoa tu, kuwa na vijipesa siyo kuwa ndiyo unaweza kutongoza, we huoni matajiri wanatogozewa mademu?

Kutongoza haijawa ishu kwangu mkuu.

Rejea title ya thread!!
 
kavurugwa huyu achaneni nae.leteni mada za maana sio mada za kutuambia wewe ni nani,kama huna mada tafuta jimama
 
Dah umenigusa aisee....ata mi sipendi mabinti wadogo maana ni wasumbufu hawajui mapenzi hawajitumi na wanabana kutoa papuchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom