Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Ole Sendeka anahaha na ubunge wa Simanjiro,awatumia Mzee Mangula,Malecela na mkewe kumsaidia kutokatwa jina lake

    Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza kuhaha kutafuta msaada kwa baadhi ya vigogo ndani ya Ccm ili waweze kumnusuru na panga la kukatwa jina...
  2. B

    RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  3. B

    Uchaguzi 2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho . - Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa Mwandishi wetu, Siha Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
  4. B

    Picnic Bar Arusha namna ilivyojipanga kupambana na janga la Corona

    Uongozi wa bar maarufu ya picnic iliyopo katikati ya jiji la Arusha umeelezea mikakati mbalimbali ambayo wanaitekeleza kipindi hiki katika kupambana na janga la ugonjwa hatari wa corona. Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa bar hiyo, Bodia Kaaya alisema kwamba kufuatia janga la corona...
  5. B

    Monaban ampongeza Rais Magufuli kwa kumwaga Tsh. bilioni 28 kila mwezi kugharamia Mpango wa Elimu bila malipo

    Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Phillemon Mollel maarufu kama "Monaban" amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Magufuli kwa kuidhinisha jumla ya kiasi cha sh, 28 bilioni kila mwezi na kutamka hatua hiyo ni uzalendo unaostahili kuungwa mkono na wadau mbalimbali wa...
  6. B

    Taharuki!kiwanda cha A-Z chadaiwa kutiririsha maji yenye sumu ,watu na mifugo wako hatarini

    Taharuki!kiwanda cha A -Z chadaiwa kutiririsha maji machafu yanayosababisha athari kwa watu na mifugo. Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa kata ya Ormoti jijini Arusha wamekilalamikia kiwanda cha A -Z kwa kutiririsha maji machafu yanayoleta athari kwa wananchi na mifugo...
  7. B

    Wafanyabiashara soko la Samunge Arusha waunga mkono kauli ya Rais Magufuli

    Siku chache mara baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kuwataka watanzania kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Samunge mkoani Arusha, wamepongeza uamuzi huo huku wakidai kwamba endapo watafungiwa...
  8. B

    Mashahidi 9 kutoa ushahidi kesi inayomkabili msimamizi wa kituo cha mafuta cha Oryx Arusha pamoja na Askari Polisi

    Mwandishi wetu, Arusha Mashahidi 9 wanatarajiwa kutoa Ushahidi katika kesi ya Rushwa ya shilingi milioni 10 inayomkabili mfanyabiashara maarufu Jijini Arusha,Shabiby Virjee{34} ambaye pia ni msimamizi wa kituo cha mafuta cha Oryx kilichopo jijini Arusha na wenzake wawili akiwemo askari polisi...
  9. B

    Mfanyabiashara maarufu Arusha na Manyara atiwa hatiani kwa kuuza madini bila leseni

    Mwandishi wetu, Arusha Mahakama ya Hakimu Mkuu Mkazi Mkoa wa Arusha imewatia hatiani wafanyabiashara wawili wa madini ya Tanzanite kwenda jela miezi 24 au kulipa faini ya jumla ya shilingi milioni 163 kwa kosa la kufanya biashara bila leseni na kuuza madini nje ya soko lililotengwa na serikali...
  10. B

    Taharuki: Mgodi uliofungwa kwa kuua watu zaidi ya 20 Arusha wafunguliwa kinyemela

    Utata imeibuka baada sintofahamu kuhusu mgodi wa Moramu uliopo eneo la Moivaro ambao ulisababisha vifo vya zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti kufunguliwa kinyemela huku mamlaka mkoani Arusha zikitupiana mpira juu ya nani aliyehusika kufungua mgodi huo. Mgodi huo umekuwa na historia ya kusababisha...
  11. B

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha na Manyara ashikiliwa na vyombo vya dola

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite Arusha ashikiliwa na vyombo vya dola. Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na Manyara, Mulla Oleshangiki anashikiliwa na vyombo vya dola kwa takribani wiki mbili mpaka sasa. Mfanyabiashara huyo alishikiliwa jijini Arusha na vyombo vya...
  12. B

    Watumishi halmashauri ya Siha waendelea kusota mahabusu ya polisi Sanya Juu

    Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Valerian Joal pamoja na afisa manunuzi wa halmashauri hiyo, Frank Malato bado wameendelea kushikiliwa kwa zaidi ya siku 15 na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) wilayani Siha bila...
  13. B

    Ziara ya Rais Magufuli wilayani Siha yachafua hali ya hewa, watumishi wakamatwa hovyo

    Katika hali isiyo ya kawaida ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anayotarajia kuifanya katikati ya mwezi huu wilayani Siha mkoani Kilimanjaro imechafua hali ya hewa baada ya baadhi ya viongozi na watumishi wilayani humo "kushikana uchawi "kwa tuhuma za ufisadi wa...
  14. B

    Wakili msomi nchini Edward Lekaita kurithi mikoba ya ubunge wa Papian jimbo la Kiteto kupitia CCM

    Wakili Msomi kurithi mikoba ya ubunge wa Papian jimbo la Kiteto. Wakili maarufu nchini, Edward Lekaita ambaye pia ni Mshauri wa masuala ya kisheria kwa asasi zisizo za kiserikali nchini anatajwa kurithi mikoba ya ubunge wa jimbo la Kiteto mkoani Manyara inayoshikiliwa na Ndugu Papian kupitia...
  15. B

    Mbunge James Ole Milya atoa neno kwa Watanzania

    TAARIFA ZA HIVI PUNDE; Nimepata tetesi kwamba baadhi ya watu ndani ya TAKUKURU Mkoani MANYARA INAFANYA NJAMA ZA KUNIFUNGULIA KESI ETI KWA MADAI NAINGILIA UCHUNGUZI WA Kesi ya Bw. Daudi Ntalemwa. Wapewe taarifa kwamba Taasisi kama Taasisi nina imani nayo sana ila kuna watu ndani ya Taasisi ya...
  16. B

    Mfanyabiashara Arusha amwaga machozi kanisani

    Mwandishi wetu, Arusha Katika hali isiyo ya kawaida mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni mkurugenzi wa makampuni ya Rainbow Shuttle and car hire pamoja na Rainbow crater lodge, Mathew Shamba Mollel amejikuta akimwaga machozi mbele ya madhabau katika kanisa la KKKT usharika wa Moshono wakati wa...
  17. B

    Shahidi akanusha kumchafua Mwanaharakati wa haki za kibinadamu kwenye gazeti la Jamhuri.

    Mwandishi wetu, Arusha Shahidi wa pili katika kesi inayowakabili wakazi wawili wa wilayani Ngorongoro mkoani Arusha pamoja na mhariri wa gazeti la Jamhuri, Manyerere Jackton ameileza mahakama kuwa hajahusika kumchafua wala kumshushia hadhi Mwanaharakati wa haki za kibinadamu na mkurugenzi...
  18. B

    Shahidi akanusha kumchafua Mwanaharakati wa haki za kibinadamu kwenye gazeti la Jamhuri

    Mwandishi wetu, Arusha Shahidi wa pili katika kesi inayowakabili wakazi wawili wa wilayani Ngorongoro mkoani Arusha pamoja na mhariri wa gazeti la Jamhuri, Manyerere Jackton ameileza mahakama kuwa hajahusika kumchafua wala kumshushia hadhi Mwanaharakati wa haki za kibinadamu na mkurugenzi...
  19. B

    Askari wa upelelezi Arusha akamatwa kwa rushwa ya Tsh 650,000

    Askari wa upelelezi Arusha akamatwa kwa rushwa ya sh laki sita na nusu (650,000). Askari wa kitengo cha upelelezi jijini Arusha, Surgent Michael Njau mwenye nambari E2548 amekamatwa na maofisa wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) akipokea rushwa ya kiasi cha sh 650,000(laki...
  20. B

    Polisi Arusha waingia lawamani, wadaiwa kumshikilia mfanyabiashara wa madini siku saba bila kumfikisha mahakamani

    Mwandishi wetu, Arusha Jeshi la polisi mkoani Arusha limelalamikiwa vikali na baadhi ya wananchi mkoani hapa kwa kitendo cha kumshikilia mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani hapa, Anthony Frizby kwa muda wa siku saba kinyume na sheria. Mfanyabiashara huyo alishikiliwa na jeshi hilo mnamo...
Back
Top Bottom