Search results

  1. B

    Uchaguzi 2020 Ole Sendeka anahaha na ubunge wa Simanjiro,awatumia Mzee Mangula,Malecela na mkewe kumsaidia kutokatwa jina lake

    Wakati vikao vya ngazi za juu ndani ya Ccm vikiendelea na mchakato wa kupitia majina taarifa za ndani zinaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Christopher Ole Sendeka ameanza kuhaha kutafuta msaada kwa baadhi ya vigogo ndani ya Ccm ili waweze kumnusuru na panga la kukatwa jina...
  2. B

    RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
  3. B

    Uchaguzi 2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Kweli kabisa kinachomtesa mollel ni ubunge lakini vita vya panzi furaha kwa kunguru
  4. B

    Uchaguzi 2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Hapa suala sio dramas tunajiuliza Ccm wakimwondoa mkiti wao je watabaki salama au vipande vipande naliona jimbo likienda Chadema mchana kweupe only time will tell 🙏
  5. B

    Uchaguzi 2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Hakika dhambi ya usaliti haitowaacha katu Lema aliwahi kutamka kwamba mkimaliza kuwashughulikia wapinzani wakiisha mtaanza kushughulikiana nyie kwa nyie Ccm maana upinzani utakuwa umeisha ndio kinachotokea Siha na hili jimbo litaenda Chadema mchana kweupeee maana historia huyu Dkt Mollel alikuwa...
  6. B

    Uchaguzi 2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho . - Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa Mwandishi wetu, Siha Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
  7. B

    Picnic Bar Arusha namna ilivyojipanga kupambana na janga la Corona

    Uongozi wa bar maarufu ya picnic iliyopo katikati ya jiji la Arusha umeelezea mikakati mbalimbali ambayo wanaitekeleza kipindi hiki katika kupambana na janga la ugonjwa hatari wa corona. Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa bar hiyo, Bodia Kaaya alisema kwamba kufuatia janga la corona...
  8. B

    Monaban ampongeza Rais Magufuli kwa kumwaga Tsh. bilioni 28 kila mwezi kugharamia Mpango wa Elimu bila malipo

    Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Phillemon Mollel maarufu kama "Monaban" amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Magufuli kwa kuidhinisha jumla ya kiasi cha sh, 28 bilioni kila mwezi na kutamka hatua hiyo ni uzalendo unaostahili kuungwa mkono na wadau mbalimbali wa...
  9. B

    Taharuki!kiwanda cha A-Z chadaiwa kutiririsha maji yenye sumu ,watu na mifugo wako hatarini

    Taharuki!kiwanda cha A -Z chadaiwa kutiririsha maji machafu yanayosababisha athari kwa watu na mifugo. Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa kata ya Ormoti jijini Arusha wamekilalamikia kiwanda cha A -Z kwa kutiririsha maji machafu yanayoleta athari kwa wananchi na mifugo...
  10. B

    Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Huyo June fussi kweli anahangaika anagombea kila jimbo Mara kinondoni viti maalum ,Mara njombe na sasa mpwapwa si akitulize? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Mme wake (Mateo Qares) alishawahi kuwa mbunge na yeye amegombea ubunge Mara mbili akapigwa chini anatafuta nn so akae atulie a support vijana?ungemshauri tu atulie kwa sasa maana umri umeshaenda Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

    Huyo June Fussi Ngowi alishawahi kugombea ubunge jimbo la Njombe Magharibi Mara mbili akapigwa chini angetulia tu sasa awaachie vijana maana umri ushaenda atengeneze vijana watakaoleta mabadiliko kuliko wazee kuwa na uchu wa madaraka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Wafanyabiashara soko la Samunge Arusha waunga mkono kauli ya Rais Magufuli

    Siku chache mara baada ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kuwataka watanzania kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari ya ugonjwa wa Corona baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Samunge mkoani Arusha, wamepongeza uamuzi huo huku wakidai kwamba endapo watafungiwa...
  14. B

    Mashahidi 9 kutoa ushahidi kesi inayomkabili msimamizi wa kituo cha mafuta cha Oryx Arusha pamoja na Askari Polisi

    Mwandishi wetu, Arusha Mashahidi 9 wanatarajiwa kutoa Ushahidi katika kesi ya Rushwa ya shilingi milioni 10 inayomkabili mfanyabiashara maarufu Jijini Arusha,Shabiby Virjee{34} ambaye pia ni msimamizi wa kituo cha mafuta cha Oryx kilichopo jijini Arusha na wenzake wawili akiwemo askari polisi...
  15. B

    Mfanyabiashara maarufu Arusha na Manyara atiwa hatiani kwa kuuza madini bila leseni

    Mwandishi wetu, Arusha Mahakama ya Hakimu Mkuu Mkazi Mkoa wa Arusha imewatia hatiani wafanyabiashara wawili wa madini ya Tanzanite kwenda jela miezi 24 au kulipa faini ya jumla ya shilingi milioni 163 kwa kosa la kufanya biashara bila leseni na kuuza madini nje ya soko lililotengwa na serikali...
  16. B

    Taharuki: Mgodi uliofungwa kwa kuua watu zaidi ya 20 Arusha wafunguliwa kinyemela

    Utata imeibuka baada sintofahamu kuhusu mgodi wa Moramu uliopo eneo la Moivaro ambao ulisababisha vifo vya zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti kufunguliwa kinyemela huku mamlaka mkoani Arusha zikitupiana mpira juu ya nani aliyehusika kufungua mgodi huo. Mgodi huo umekuwa na historia ya kusababisha...
  17. B

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha na Manyara ashikiliwa na vyombo vya dola

    Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite Arusha ashikiliwa na vyombo vya dola. Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na Manyara, Mulla Oleshangiki anashikiliwa na vyombo vya dola kwa takribani wiki mbili mpaka sasa. Mfanyabiashara huyo alishikiliwa jijini Arusha na vyombo vya...
  18. B

    Watumishi halmashauri ya Siha waendelea kusota mahabusu ya polisi Sanya Juu

    Katika hali isiyo ya kawaida aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Valerian Joal pamoja na afisa manunuzi wa halmashauri hiyo, Frank Malato bado wameendelea kushikiliwa kwa zaidi ya siku 15 na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) wilayani Siha bila...
  19. B

    Ziara ya Rais Magufuli wilayani Siha yachafua hali ya hewa, watumishi wakamatwa hovyo

    Katika hali isiyo ya kawaida ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anayotarajia kuifanya katikati ya mwezi huu wilayani Siha mkoani Kilimanjaro imechafua hali ya hewa baada ya baadhi ya viongozi na watumishi wilayani humo kushikana uchawi kwa tuhuma za ufisadi wa fedha...
Back
Top Bottom