kuna chombo chahabari kinapenda kuratibu misiba/majanga, yakitokea tu wana wahi
#60,400,000-matumizi-mengineyo
Kanumba, Mangwair, Arusha etc,
ukizoea kula nyama ya mtu huachi.
wakati wa richmond kampuni ilikuwa feki lakini ililipwa kutokana umeme uliozalishwa licha ya kampuni kuwa feki,
hawa wenye vyeti feki hawana budi kuondoka, ila ni muhimu wakalipwa stahili zao.
Yanayo endelea yana staajabisha, lakini labda kuna kitu MTUKUFU Raisi anakifahamu na sisi wengine hatukifamu.
Pia kama hali iko hivyo taarifa hizo zinaweza kuwa nyeti na hazi paswi kuwekwa hadharani.
Kama hali iko hivyo, hatuna namna bali kumuelewa MTUKUFU Rais.
Viva Tanzania
Viva Sirikali...
Kwanini sasa tusifanye juhudi kuhakikisha vinafanya kazi.
CCM na mwenyekiti wake hawawezi kupendwa na kila mtu kama tuna lifahamu hilo kwa nini tusi kazane kufanya yetu na kuwa acha wenye fikra tofauti na zetu wafanye 'yao'
kila mtu na kipa umbele chake, kwa mfano kipaumble changu kina weza kuwa kununua na ndege na kushughulikia ndoto za watu, hiyo haiwa zuii wana kagera kufarijiana au kujenga nyumba zao, ukizingatia tetemeko halikuletwa na serikali.
tumuogope Mungu.
food that has low nutritional value
1. We get nutrients through eating/drinking not by activities we do there after.
2. Junk food contains a lot of calories mainly from fat and/or sugar and that's exactly what your body needs to carry a 150kg bag
3. Your body needs more than just calories...
It’s well established that people with low economic status are the hardest hit by the current obesity pandemic, as well as related health problems such as diabetes. Poor healthcare, stress, unhealthy lifestyles, and a cornucopia of cheap junk food are all thought to play a role. But a new study...
Boeing and the United Republic of Tanzania have confirmed an order for one 787-8 Dreamliner, valued at $224.6 million at list prices. The aircraft will be operated by Air Tanzania, the flag carrier of Tanzania.
Air Tanzania said, "The 787 Dreamliner will be the flagship aircraft as we renew and...
IT’S one of the things we are most afraid might happen to us. We go to great lengths to avoid it. And yet we do it all the same: We marry the wrong person.
Partly, it’s because we have a bewildering array of problems that emerge when we try to get close to others. We seem normal only to those...
People tend to hold overly favorable views of their abilities in many social and intellectual domains. This overestimation occurs, in part, because people who are unskilled in these domains suffer a dual burden: Not only do these people reach erroneous conclusions and make unfortunate choices...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.