Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

yani hajui anazidi kuuwa radio ya taifa. Yani sio mzalendo kabisa au hajui maana ya utaifa na yeye akiwa kiongozi. Ananishangaza sana sijawai kuona au TBC ni ya wapinzani.,? Yeye na mdogo wake wa Dar wote akili zao sawa kama ndiyo kwa style hii basi hata mimi naweza kuwa RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA •
 
Hivi ni kweli nitaacha kuendelea kushangaa huu mwaka mpya unaoanza kesho kutwa?
 
Nahisi kungekuwa na kadi za salamu za redio kama kile kipindi chetu nazo angenunua ili atume salamu
 
Back
Top Bottom