Je Kuna kitu Magufuli anakifahamu na sisi hatukifhamu

nash2010

JF-Expert Member
Jun 18, 2010
624
215
Yanayo endelea yana staajabisha, lakini labda kuna kitu MTUKUFU Raisi anakifahamu na sisi wengine hatukifamu.

Pia kama hali iko hivyo taarifa hizo zinaweza kuwa nyeti na hazi paswi kuwekwa hadharani.

Kama hali iko hivyo, hatuna namna bali kumuelewa MTUKUFU Rais.

Viva Tanzania

Viva Sirikali ya vi-wonder
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom