Search results

  1. DUMEGUY

    Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  2. DUMEGUY

    Nitapata wapi Internet cafe yenye speed kwa Dar?

    Habari, nipo dar na nilikua nahitaji huduma ya internet , kwenye internet cafe ila iwe na speed nzuri na mazingira yawe mazuri.. 20mbps to 100mbps. Asante
  3. DUMEGUY

    Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

    Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha antena 99k
  4. DUMEGUY

    Je Oneplus 7t Pro 5g inasupport mitandao ya bongo?

    Habari za saizi, Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo? Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile . Msaada
  5. DUMEGUY

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kutrack simu ilioibiwa

    Habari za muda huu, Nauliza kama inawezekana kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia Serial Number pekee maana simu ni network lock, iphone 11 Kibaya zaidi ilikua haina icloud ndani, nauliza kwa anaejua kama inawezekana labda kama akikonect tu wifi nimuone alipo
  6. DUMEGUY

    Simu ya infinix inajaa chaji kwa dakika 10

    Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
  7. DUMEGUY

    With iOS15 you will never lose your iPhone/iPad

    With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a low-power state and acts like an AirTag, allowing any nearby iOS device to pick up the Bluetooth...
  8. DUMEGUY

    Nahitaji Hdd Password Remove Service

    Habari, Natafuta anae jihusisha na kutoa Hdd password.. Nipo Dar
  9. DUMEGUY

    Msaada kutoa password HDD

    Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
  10. DUMEGUY

    Yoyote aliefanikiwa kujiunga na Mturk ya Amazon

    Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo? Kama hujui Mturk ni online working platform.
  11. DUMEGUY

    Samsung s6 plain kioo kinaitajika

    Natafuta kioo cha samsung s6 plain kama unacho nicheki kiwe used au new ila bei iwe ya Kibaharia......…..Nicheki 0657427793
  12. DUMEGUY

    Dell inspiron 1545 160000 320gb 3gb ram

    Laptop ipo kwenye hali nzuri ina 320gb hdd 3gb ram kioo 15.6 inchi Proc. 2.3ghz DVD RW Charge 1hr ipo na adapter yake og BEI 200000 Mwisho kabisa 170000. 0657427793 Serious Buyers Only
  13. DUMEGUY

    Dell inspiron 1545 170k 3gb ram 320gb hdd

    Laptop ipo kwenye hali nzuri ina 320gb hdd 3gb ram kioo 15.6 inchi Proc. 2.3ghz DVD RW Charge 1hr BEI 200000 Mwisho kabisa 170000. 0657427793 Serious Buyers Only
  14. DUMEGUY

    Natafuta Display ya galaxy j3

    Natafut kioo cha galaxy j3 2016 used.. sitaki kipya cha bei chee yani.. nicheki 0657427793. Nipo Dar
  15. DUMEGUY

    Gemstone Gani Hii

    Naitaji kujua tuu nimekutana na hii clip mahali..
  16. DUMEGUY

    Iphone 5s Activation Lock 90k

    Simu ya rangi ya silver bado ipo safi sana kwenye mwonekano, issue ni icloud lock.
  17. DUMEGUY

    Jinsi Yakuitumia Inernal Hdd

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kuunganisha hii hdd kwenye pc, nadhani ni hdd ya server(sina uhakika)
  18. DUMEGUY

    Samsung Galaxy tab A 8.0" 4g+Wi-Fi 16gb 330000

    Samsung Galaxy tab A 8.0 model Sm-t355 4g+Wi-Fi 16gb ina Android 7.1 Nougat bei 330000 inapungua kidogo. Tablet bado ipo fresh. Tablet ipo Moshi,KILIMANJARO.
  19. DUMEGUY

    Zte Maven 2 4g 5" kwa 120000

    Zte Maven 2z831 ina kioo kikubwa inchi 5" na ina internet ya kasi ya 4g na ina ram 1gb na 8gb rom inaingiza sd card bei 120000 na inapungua.. Simu bado mpyaaaa nicheki 0757227796. Ipo KILIMANJARO
  20. DUMEGUY

    Hii Desktop itafaa kwa kazi gani.

    Habari,Nataka kujua Hii pc haswa itafaa kwa matumizi gani.
Back
Top Bottom