Search results

  1. K

    Hili kwapa,ni fashion au uchafu?

    Nijuzeni jamani, hii style ya kuachia nywele za kwapa ni fashion au uchafu?kama ndio fashion imeingia niambieni ili na mimi nianze kufuga zangu,maana kama mnavyojua tunaiga maselebu
  2. K

    Nani anasema wanaume ni adimu na wachache?

    wenye hela na wenye kutimiza mahitaji yote ya mwanamke ndio wachache, lakini hohe hae wamejaa kibao, ndio maana wanawake wengi wanagombea padeshee hawagombei shamba boy, sasa piga hesabu hapa mjini mapedeshee ni wangapi?
  3. K

    Je kuna Ukweli Wadada/Wanawake wakiwa period ni wakali kwa waume /BF Wao?

    kuhusu kuwa na hamu sijalifanyia sana utafiti,ila ninachojua siku ambayo yai ndio limepevuka linasubiria mbegu,acha bwana,usipoangalia unabaka,wadudu wadogowadogo wanatekenya mpaka basi,especial ukiwa mwanafunzi hauhitaji mtoto,nafikiri hamu inazidi mara mia haya ni kwa upabde wangu,labda tupo...
  4. K

    Je kuna Ukweli Wadada/Wanawake wakiwa period ni wakali kwa waume /BF Wao?

    umenikumbusha mbali sanaaaaaaa, nagombana na jamaa yangu kila ikifika hichi kipindi,hata kama hamna ugomvi utatafuta kisa cha nyuma,miaka ileee iliyopita, baada ya kugundua huu mchezo mchafu,nimejitahidi sana ku control lakini wapi,ni ngumu sana,naweza nikapitisha hizo siku nne bila hata ya...
  5. K

    Elections 2010 CCM Wajiingiza Mkenge: Chadema Wawasilisha List of Shame NEC

    naombeni hayo majina pliz,mimi nimepitwa sana
  6. K

    Afadhali changudoa

    I was doing the same,especial kwa wale wanaume ving'ang'anizi, anakusumbua mpaka unakarahika,anakuja na mbwembwe za kwamba yeye ni mtoto wa rostam aziz,sasa unafikiri matokeo yake ni nini? lazima uchunwe mpaka utie akili,mpaka ukija amka kutoka usingizini na kujua hapa sitakiwi nakuwa nimemaliza...
  7. K

    Rostam Aziz & Yusuph Manji

    lets be serious guys, we can do something kama tukiwa wamoja, sio lazima tushinde, hata wakishinda poa lakini itakuwa mfano kwa wengine wanaojiandaa kuja,maana ninavyojua toka aanze kupigiwa kelele kuhusu uraia na ufisadi atakuwa amejipanga sana. bora hela ziliwe na hawa watanzania wenzetu...
  8. K

    Rostam Aziz & Yusuph Manji

    No one Cares Kwasababu watoto wao wanakula na kulala pazuri, No one cares because they sure we cant touch them, No one cares because they think of short term impact of their political career , No one cares because mioyo yao inawasuta kwa pesa walizoshirikiana kuiba na RA, No one Cares because...
  9. K

    Michelle Obama; America's Most Photographed 1st Lady!

    im a father's daughter,kuna siku naikumbuka enzi zile baba alinichukua kwenda kuninunulia zile chupi za mtumba pale kariakoo mtaa wa kongo,im in love with him japokuwa hajaweza kunipa chochote, kila nikifikiria kwamba kunasiku sitakuwa nae hapa duniani najikuta nalia utadhani ndio ameshaondoka
  10. K

    Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

    na vipi kuhusu rostam aziz?yeye ni wa wapi?
  11. K

    Napenda kufahamu

    ile barabara ni kiboko,first time naelekea kule nililia mpaka tunafika lushoto mjini, ilibaki kidogo nisirudi kwa ajili ya ile barabara, ningekuwa mwanakijiji na mzoefu ningetembea kwa miguu mpaka mombo kama wenyeji wanavyofanya,but i fall in love na ile place kwa kweli
  12. K

    Napenda kufahamu

    tanga-lushoto kama ulaya vile, green na kipupwe,waterfalls,milima na mabonde,ni pazuri kwa kweli
  13. K

    Dola yafanywa mbadala wa shilingi Dar es salaam!

    nipo nje, kuna kitu nilikuwa nataka kutoka tanzania,nikamwambia ndugu yangu naomba niulizie bei, nilishangaa nilipotajiwa bei ya dola baada ya shilingi,hatuna utamaduni wowote na bado watu wachache wenye nguvu wanaacha shiingi pia ipotee, na ule mlima wakenya wameshauchukua,sasa ukitaka...
  14. K

    Rafiki yako anapokuomba kuzaa na mme wako

    tayari ana mimba huyo demu, kunusuru ndoa imebidi watumie hiyo njia, hata mtoto akizaliwa ijulikane ni wa tube,kuna watu wana akili kweli
  15. K

    PLASMA TV: Kwa nini zinakula sana umeme?

    halafu pia zina expire, upo hapo?
  16. K

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    we are selfish na uvivu
  17. K

    Kwapa

    kumbe ndio ugonjwa wako, nishajua wapi pa kukutega
  18. K

    Utaishia kula kwa macho tu!

    maskini, nimekuonea huruma, inawezekana nakujua,maana kuna jamaa yangu mmoja kila siku analalamika hapewi unyumba
Back
Top Bottom