Search results

  1. Mpelijr

    Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

    Hahahaaaah hii kauli naikumbuka kabisaaaaa...mwe!! siku hizi hawaleti ndo maana tunashangaa.Maybe kwa sasa wangekuwa wanawekeza hata kwenye SGR !!
  2. Mpelijr

    Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

    Kwa jinsi mirejesho ilivyokuwa hafifu inatia shaka...labda vyuma vimekaza na huko kwenye Forex
  3. Mpelijr

    Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

    Salaam Wadau, Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mada mbalimbali zinazokuja humu JF hasa za biashara na uwekezaji na nyingine nimechukua hatua moja mbele na kwenda kuzitekeleza...matunda si haba,ukiwekeza muda,nguvu na mtaji kiasi ikiambatana na maombi ahh faida utaiona. Hapa karibuni pametokea...
  4. Mpelijr

    PS3 Console na Contoller zake zinahitajika - DSM

    Salamu wakuu, Natafuta Ps3 console mbili (2) za kununua ambazo zitakuwa mpya au zilizotumika kwenye hali nzuri pamoja na controller (pad) zake. Mashine zilizoguswa guswa na kurekebishwa no please..vyuma vimekaza kote tusitafute kugombana. CD kadhaa za game zikiwepo nachukua pia.
  5. Mpelijr

    Hipoz Men

    News hallway,a place where Entertainment is Entertained. Check it out.Hipoz Men
  6. Mpelijr

    Hipoz Men.blogspot,India

    kutoka India vijana wakitanzania watambulisha blog yao saafi kwa ajili ya wasanii,waigizaji,wana mziki pamoja na sanaa zote zingine.Ni full kujiachia ndani ya Hipoz Blog....Come Check for yourself at http://hipozmen.blogspot.
  7. Mpelijr

    Bongo na uchakachuaji Takwimu......

    Jamani leo nimekuja kugundua kwamba ofisi nyingi hapa bongo wanatumia takwimu feki ili kuepusha kuonekana kwa maovu yao.Hizo ofisi wote twazijua kwani ukisoma habari za bongo kwenye vitabu ni tofauti na hali halisi.....Waongooo....Wanachakachua takwimu za umasikini mpaka za vilema....
  8. Mpelijr

    Uchaguzi mkuu 2015: CCM v/s CHADEMA...

    wananchi na wote kwa ujumla tunasubiria sana kuona utendaji kazi wa spika mpya....kama atakuwa kibaraka au atakuwa spika?
  9. Mpelijr

    Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    Chonde ndugu yangu,usije ukajuta hata kuzijua hizo herufi tatu...
  10. Mpelijr

    JK angeongoza kabla ya Mkapa tungekuwa wapi??

    nimependa hiyo ya jf kuasisiwa mapema....
  11. Mpelijr

    Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya...

    Haswaa,ndugu yangu nakuunga mkono...watanzania tumezidi kusahau mambo muhimu...halafu hatujajingea tabia ya kuuliza maswali na hata kutafiti vitu...tunapenda kweliii press conference za viongozi wetu wakituambia kuwa hakuna tatizo na mambo yote yako sawa wakati nothing is going on!!we should...
  12. Mpelijr

    Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya...

    patriots tupo ila uzalendo inabidi uanzie chini kabisa na uonekane juu kwa viongozi kama viongozi hawana uzalendo kwa nchi yao,wanauweka uzalendo wa watu wa chini pabaya kwa sababu kama tunavyoona resourses zetu zinavyotumika kwa maslahi yao,nani anaumia?ni wananchi wa chini na siyo wao!!
  13. Mpelijr

    Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya...

    Na sasa hivi mkuu hajaja na kauli mbiu za ice creasm kama hiyo ya mwaka 2005...naona hata waandaaji kauli mbiu nao wameona itakuja kuwageuka baadae kutokana na utendaji hafifu wa serikali yetu....
  14. Mpelijr

    Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya...

    Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo kikubwa...ikawa ya pili afrika kwa ushindi wa kishindo ukiitoa zimbabwe na kura za mugabe...miaka 2...
  15. Mpelijr

    JK angeongoza kabla ya Mkapa tungekuwa wapi??

    Siyo wewe tu ndugu yangu....ni wewe na watanzania wapatao milioni 20.....tulidanganywa na propaganda ya raisi kijana na siyo raisi mtendaji!!!!
  16. Mpelijr

    JK angeongoza kabla ya Mkapa tungekuwa wapi??

    that is the exact thought that came to my mind..its the person and i wondered ...where could we be?
  17. Mpelijr

    JK angeongoza kabla ya Mkapa tungekuwa wapi??

    hahaahahah tufwile fijo''
  18. Mpelijr

    JK angeongoza kabla ya Mkapa tungekuwa wapi??

    Nilikuwa natafakari last time...jk angeweza kuwa raisi mwaka 1995 kama mwl. asingewazuia na kuwaambia kikwete na kundi lake kuwa bado hawajakomaa kua viongozi wa nchi...lakini je mustakabali wa nchi yetu ungekuwaje kama jk angeupata uraisi kabla ya mkapa?
  19. Mpelijr

    Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

    Ni miaka 40 na kadhalika bado tunataja shida zile zile,na cha zaidi tumeongeza na nyingine kubwa zaidi ambayo ni ufisadi...kidonda ambacho kilianza kwa mkapa na kikaja kufunguliwa na kuonekana wazi kwa kikwete...mi sijaona raisi wa kumsifia tz kwa kuwa all of them come and go they leave us more...
  20. Mpelijr

    Rais JK aendelea kuizunguka dunia;aenda Belgium na Misri!

    Ni kawaida kwa viongozi wetu hawa....hapo anahamasisha utalii wa nchi za nje kwa wabongo na shopping kdg ikiwezekana...
Back
Top Bottom