Bongo na uchakachuaji Takwimu......

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Jamani leo nimekuja kugundua kwamba ofisi nyingi hapa bongo wanatumia takwimu feki ili kuepusha kuonekana kwa maovu yao.Hizo ofisi wote twazijua kwani ukisoma habari za bongo kwenye vitabu ni tofauti na hali halisi.....Waongooo....Wanachakachua takwimu za umasikini mpaka za vilema....
 
Back
Top Bottom