Search results

  1. Mzee wa Masauti

    Chonde chonde M/Mungu ibariki HARAMBEE STARS ishinde mechi ya leo

    Kwa hizi siasa chafu za CCM na serikali yake kwenye mpira wetu. Leo nimefunga na kuomba Taifa Stars IFUNGWE irudi nyumbani kuunga mkoo jubudi. Kumbe Taifa stars inawakilisha serikali ya CCM badala ya Taifa. Narudia tena TUFUNGWEEEE tuwe na amani.
  2. Mzee wa Masauti

    Benki ya Dunia imetoa mkopo wa dola 300m kwa sharti kwamba zaidi ya dola 15m zitumike kuendeleza waliopata ujauzito shuleni kuendelea na masomo

    Benki ya Dunia imeridhia kutoa mkopo wa dola milioni 300 kwa Tanzania kuboresha sekta ya elimu. Moja ya masharti ni kuwa zaidi ya dola milioni 15 zitatumika katika programu mpya itakayoundwa kusaidia waliopata ujauzito shuleni kuendelea na masomo. Jeuri ya masikini haidumu.
  3. Mzee wa Masauti

    Viongozi wa Dini jitokezeni mkemee yaliyotokea kwenye Uchaguzi wa Madiwani

    Nitumie fursa hii kuonyesha masikitiko yangu kwa viongozi wa dini juu ya yale yaliotokea kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani uuliofanyika jana 26/11/2017. Naona viongozi wa dini wanajifanya kama hawaoni umwagaji damu uliotokea kwenye uchaguzi huu wa madiwani. Wito wangu ni kuwa mjitokezee mkemee...
  4. Mzee wa Masauti

    Swali Fikirishi: Treni ya umeme itakuja na 'standby generator' au?

    Jamani naomba tuweke siasa pembeni, Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme. Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika. Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu...
  5. Mzee wa Masauti

    Upinzani mmenikuna kwa ustaarabu wenu kwa sasa, nitawapa kura 2020

    Hapo awali nilikukuwa nawachukia sana wapinzani kwa fujo zao na kukosa ustahimilivu wa mambo mbalimbali hasa wakiwa nje ya bunge. Jambo Hilo lilipelekea hata uvunjifu wa amani kwa baadhi ya maeneo yetu hapa nchini. Jambo Hilo lilinipelekea kuwanyima kura yangu 2015 na kumpatia mhe. JPM...
  6. Mzee wa Masauti

    Rais Magufuli nenda mwenyewe kwenye baadhi ya mikutano ya kimataifa

    Sentence case: Kwa kweli nimejiskia aibu na fedheha kubwa kumsikia waziri wa mambo ya nje Augustine Mahiga akimtetea rais eti hajaenda kwasababu ya kubana matumizi. Kweli? Kama ni kubana matumizi huyo waziri alisafiri na fedha gani? Kama hoja ni kubana matumizi Mahiga hakupaswa kwenda kabisa...
  7. Mzee wa Masauti

    IGP Mangu usipokuwa makini raia watapoteza uaminifu na Jeshi la Polisi

    Kutokana na vuguvugu la siasa linaloendelea hapa nchi linalotokana hasa na kukatazwa kwa mikutano ya kisisasa na yale ya kule Zanzibar, napenda kumshauri IGP Mangu ni heri akakaa kimya kuliko kutoa matamko yanayoashiria upendeleo wa chama fulani cha siasa. Ni dhahiri kwamba kwenye uchaguzi wa...
  8. Mzee wa Masauti

    Rais Magufuli, Abdallah Njwayo DC wa Rufiji ni Jipu

    Kwako Mhe. Rais Magufuli. Inawezekana umeshauriwa vibaya kuhusu huyu DC mpya wa Rufiji uliemteua. Ni ukweli uliowazi kabisa Huyu Juma Abdallah Nywayo atakuaibisha kwa jinsi alivyombabaishaji katika utendaji wake wa kazi. Amechangia kudumaza maendeleo ya wanaTandahimba hapa mkoani Mtwara kwa...
  9. Mzee wa Masauti

    Nishaurini kuhusu huyu dada

    Sabalkheri wanajamvi wa MMU. Nimekuwa msomaji wa uzi mbalimbali katika jukwaa hili lakini ni mara chache sana nimekua nikitoa mada. Leo nina kisa kimoja ambacho ningeomba mnishauri wanajamvi, Ni hivi kuna mdada mmoja nilianza kumfuatilia kwa maana ya kumtongoza yapata mwaka mmoja na nusu...
  10. Mzee wa Masauti

    Gharama za kutoa gari bandarini

    Habari zenu wadau Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007. Ina 1990cc. CIF price Ni USD 6361.
  11. Mzee wa Masauti

    Nissan X Trail

    Habari za wakati huu ndugu wanajamvi. Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza, Nina mpango wa kununua Nissan X Trail mana nimevutiwa nalo kimwonekano. Anaelifahamu vizuri gari hili anijuze kuhusu uimara wake, upatikanaji wa spare zake n.k. Naombeni mawazo yenu wakuu!
Back
Top Bottom