Upinzani mmenikuna kwa ustaarabu wenu kwa sasa, nitawapa kura 2020

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
2,199
2,507
Hapo awali nilikukuwa nawachukia sana wapinzani kwa fujo zao na kukosa ustahimilivu wa mambo mbalimbali hasa wakiwa nje ya bunge.

Jambo Hilo lilipelekea hata uvunjifu wa amani kwa baadhi ya maeneo yetu hapa nchini.

Jambo Hilo lilinipelekea kuwanyima kura yangu 2015 na kumpatia mhe. JPM.
Lakini kwa ustahimilivu na ukomavu wa kisiasa wanaounyesha wapinzani kwa sasa licha ya kuwepo kwa upendeleo wa waziwazi kwa chama tawala huku CCM ikilindwa na vyombo vya dola, Hakika upinzani umenishawishi kwamba Nchi yetu itakuwa mikono salama na ya amani kama wakipata ridhaa ya watanzania kuongoza nchi yetu.

Ni dhahiri kwa yanayoendelea kwa sasa CCM imechoka na na amani tuliyonayo ndo mana inaanzisha chokochoko ili upinzani wajibu mapigo ili yatokee machafuko kitu ambacho upinzani wamefanikiwa kuukwepa mtego huo.

Hongera sana Upinzani mnafaa kuongoza nchi yetu ya Tanzania
 
Mfalme wa ccm alisema wapinzani wakitawala wataleta Vita !.cha ajabu ni kwamba yeye ndo anayeleta vita sasa.anaongeaje,tena hadharani kuwa mashehe waliopo, jela ( wa uamsho )ndo wanaohusika kuua kibiti ?
Haoni kua anachochochea hapa,ni vita ya kidini ? Na nivita hatari kuliko zote duniani ? Ukiulenga uislamu,au ukristo,unagusa kila taifa duniani,lenye waumini wa dini unayoionea ?

Ila mtu akihoji au kusema ukweli juu ya kauli za huyu baba ,anashambuliwa na ccm,anatukanwa,bila ccm hao kutoa ufumbuzi mbadala,au kusema uongo uliotumika kukosoa kauli zake zinazo zua hofu kati ya jamii,hakuna mtu anayeweza kusema uongo juu ya kauli za kiongozi kama kweli hazina maudhi,au uchokozi ndani yake ! .yeye yupo ikulu,na analindwa,hizi dini anazochonganisha huku
mitaani,zikianza vurugu,
sisi maskini,wanawake,watoto,wazee na walemavu,tu
talindwa na nani?
Mungu tunaye kutegemea,fanya jambo,kabla huyu mtu hajachoma nchi moto,na vita kulipuka.nakuamini,kwak
ua umetenda mengi,hata katika hili utatenda,Amen.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bila ubishi upinzani umeonyesha maturity ya kisiasa na kututhibitishia kuwa wanaitakia meme Tanzania! Kura zimeibws wakakaa kimya, wanaonewa wanafuatilia sheria kwa uvumilivu...ndio maaana naamini kuwa yote mema yanatekelezwa na awamu hii is bse ya upinzani...siku zote kura yangu upinzani!

Kwa kweli hilo jambo limenifurasha sana. Siasa ni ustaarabu.
 
Mfalme wa ccm alisema wapinzani wakitawala wataleta Vita !.cha ajabu ni kwamba yeye ndo anayeleta vita sasa.anaongeaje,tena hadharani kuwa mashehe waliopo, jela ( wa uamsho )ndo wanaohusika kuua kibiti ?
Haoni kua anachochochea hapa,ni vita ya kidini ? Na nivita hatari kuliko zote duniani ? Ukiulenga uislamu,au ukristo,unagusa kila taifa duniani,lenye waumini wa dini unayoionea ?

Ila mtu akihoji au kusema ukweli juu ya kauli za huyu baba ,anashambuliwa na ccm,anatukanwa,bila ccm hao kutoa ufumbuzi mbadala,au kusema uongo uliotumika kukosoa kauli zake zinazo zua hofu kati ya jamii,hakuna mtu anayeweza kusema uongo juu ya kauli za kiongozi kama kweli hazina maudhi,au uchokozi ndani yake ! .yeye yupo ikulu,na analindwa,hizi dini anazochonganisha huku
mitaani,zikianza vurugu,
sisi maskini,wanawake,watoto,wazee na walemavu,tu
talindwa na nani?
Mungu tunaye kutegemea,fanya jambo,kabla huyu mtu hajachoma nchi moto,na vita kulipuka.nakuamini,kwak
ua umetenda mengi,hata katika hili utatenda,Amen.

Post sent using JamiiForums mobile app
well said mkuu.
amani yetu CCM wanajaribu ku-tamper nayo. Na siku amani ikiondoka hakika na wao hawatabaki salama.

ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom