Search results

  1. M

    Mgao wa umeme usio rasmi

    Sasa hivi imekuwa tabia ya mashirika yetu kutokutoa huduma bila taarifa. Tanesco baada ya uchaguzi kumalizika kuna mgao wa rejareja unaendelea. Kila siku umeme unakatwa tena kwa masaa mpaka 8 hakuna taaarifa ya maana. Jana Ngereja baada ya kuapishwa alisema wanataka kumaliza mambo ya mgao wakati...
  2. M

    Elections 2010 Matokeo ya awali toka Songea

    Songea Majengo Urais CCM - 86 CHADEMA - 121 CUF - 7 APPT - 2 Ubunge CCM - 69 CHADEMA - 124 Udiwani CCM - 71 CHADEMA - 121 Songea Mfaranyaki Urais CCM - 62 CHADEMA - 80 Ubunge CCM - 59 CHADEMA - 83 Udiwani CCM - 63 CHADEMA - 78...
  3. M

    Elections 2010 Kucheki vitambulisho vya kupigia kura

    WanaJF naamini wengi wetu kama si wote tutakuwa tumejiandikisha kupiga kura. Lakini kuna huu utaratibu uliowekwa wa kwenda kucheki kama majina yetu yapo. Tafadhari nendeni mkakague kama majina yenu yapo kwenye orodha iliyobandikwa mapema au kwenye tofuti ya NEC www.nec.go.tz kuna utaratibu pale...
Back
Top Bottom