Search results

  1. K

    Uyoga (fresh mushroom)

    Habari wapendwa, Nauza Uyoga (Fresh Mushroom) Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0753 214561 au 0715 497259 Tunapima kuanzia Kilo moja hadi robo kilo Huduma ya kuletewa ipo tutaelewana kutokana na umbali (Dar), wa mikoni tunatuma pia Karibuni sana Schola
  2. K

    Uyoga (fresh mushroom)

    Habari wapendwa, Nauza Uyoga (Fresh Mushroom) Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0753 214561 au 0715 497259 Tunapima kuanzia Kilo moja hadi robo kilo Huduma ya kuletewa tutaelena kutokana na umbali (Dar), wa mikoni tunatuma pia Karibuni sana Schola
  3. K

    Nini maana halisi ya Profession?

    Habari zenu wadau, nina utata juu ya maana halisi ya Profession na je nini vigezo vya profession? Lakin je kama huko duniani professional zina bodi lakiini kwa hapa bongo hazina je zitakuwa profession?
  4. K

    Tribute To Uncle J. Nyaisanga: Jee Unamkumbuka kwa Lipi?!. Kuagwa Leo Leaders Club!

    Habari zenu wanajamii forum Nimeangalia picha za kumuaga Uncle J, katika mitandao tofauri najiuliza hivi huu uandishi wa kuonyesha maiti ni w wapi? ninavyofahamu kitaaluma hairuhusiwi lakini siku hizi katika misiba mingi unakuta wanaonyesha mwili wa marehemu, watu wanaweza wasione kama tatizo...
  5. K

    Nauza hisa za NMB

    Nakushukuru kwa ushauri nitafanya self analysis then niamue lakini si kula good time ila nilikuwa naangalia ni bora nikazizungusha maana zimekaa huko miaka miwili sasa lakini sioni faida
  6. K

    Nauza hisa za NMB

    Wapendwa nauza hisa za NMB ushauri jamani niziuze au niziache lakini hisa zenyewe elfu moja tu gawio kwa mwaka elfu hamsini lipi bora kuziuza kufanya shughuli nyingine au Kachoki
  7. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Asante sana, center nitawajulisha nipo katika maandalizi
  8. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Asante, sana kumbuka kupiga namba 0715 / 0784 497259 utakapohitaji tena,
  9. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Karibu tena!!!! usisahau sasa zinapatikana pia smoked meat
  10. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Hizi ni soseji tofauti kabisa na zile za Arusha, hizi ni kubwa na nene zenye uzito wa kilo moja inakuwa one piece nitakuwekeeni picha hapa ili iwe rahisi kuzitambua Asante
  11. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    vyote hivyo vitapatikana hapa dar tupo ktk maandalizi asante
  12. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Asante Amoeba kunifanyia maelezo zaidi kuhusu hizi soseji sasa nikuletee ngapi? fanya oda yako pia asante kutambua kuwa siye ( siyo wote) tuliotoka PERAMIHO NI WAKARIMU!!!!!!!!!!!!!! wengine karibu sana PERAMIHO
  13. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Nitafanya hivyo, Zasasule Asante
  14. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    nilisahau mkaa mweupe uzito ni kilo moja asante
  15. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Nakukushukuru sana ingredients zake ni Nyama ya ng'ombe, chumvi,viungo ambayo ni amdalasini,pilipili manga na hiriki ni hivyo tu MKAA MWEUPE
  16. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Mkuu duka lipo katika ukarabati na maandalizi ila kwa sasa unaletewa popote ulipo, tunafanya delivery kwa hapa dar, unachotakiwa ni kufanya mawasiliano kwa kutumia namba 0715 497259 na 0784 497259.
  17. K

    Soseji kutoka Peramiho zinapatikana hapa Dar

    Habari wana JF members Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au 0784 497259 utaletewa. Bei ni shilingi 13,000/=
  18. K

    Secretary wa law school of tanzania jamani!!!

    lakini tatizo wengine wakienda katika hizo ofisi hawaheshimu watu hasa wa reception jamani watanzania tuna hilo tatizo la kutokuwa heshina kwa baadhi ya kada
  19. K

    Kijana wa miaka 25 aoa Mama wa miaka 56 Kenya

    Kinachotakiwa hapo ni upendo wa dhati, kwani wako wanaooana kwa miaka inayokubalika lakini hawana amani katika ndoa zao sasa lipi jema kuwa na amani au mi naona poa tu ili mradi wanapendana Kachoki
  20. K

    Tufundishane Ujasiriamali

    Ubarikiwe sana, naamini wengi tutafaidika nimechukua namba, wanajamii Forum jamani si tungechagua mmoja wetu awe coordinator hapa tujiorodheshe na tuanze darasa mara moja?
Back
Top Bottom