Search results

  1. raskaka

    Naomba msaada wa PC

    Nina pc yangu aina ya acer shida inakuwa kuwaka inachukua dakika 20 kwa kujirestart mara system recover nimebadili window bado tatizo linaendelea naomba yeyote mwenye uelewa anisaidie plz
  2. raskaka

    Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

    Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
  3. raskaka

    Tatizo la display kwenye desktop, naomba msaada

    samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
  4. raskaka

    Una apply vipi Diploma ya uwalimu UDOM 2014/15 na HESLB

    Samahan ndugu zangu, nilikuwa naomba kufahamu juu ya uwalimu wa dilpoma in science wanaapply vip maana nimeshindwa kufanya transaction kati ya mpesa na bodi ya mikopo ile namba trasaction id inaniambia haiko sawa ama bado hawajafungua system. Naomba kam kuna mtu ama ndungu yako kaomba hii...
  5. raskaka

    Naomba msaada jinsi ya kupata vitual dj

    Wana jamvi naombeni mwenye software application ya vitual dj ama direct link ambayo naweza ku download natanguliza shukurani.
Back
Top Bottom