Msaada: Nikichomeka flash, mafaili yote yanakuwa shortcuts

raskaka

Member
Feb 22, 2014
74
12
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
 
Shortcuts viruses ni wabaya sana, hawa virus huwa wanaingia kwenye roots za computer (rootkit) na kufanya antivirus washindwe kuwaona!
Cha kufanya, tengeneza antivirus disk rescue aidha kwa kutumia cd au usb drive kisha boot pc yako kwa kutumia hiyo antivirus disk rescue, scan virus wote na delete hao virus (kuhusu antivirus disk rescue unaweza kutumia yoyote, unaweza ukagoogle maana most of them are freewares na zipo nyingi sana)
Ukimaliza kuscan na kudelete hakikisha antivirus database na antivirus definition zinakuwa update kabla hujachomeka usb drive au drive yoyote (wengi huwa wana antivirus wakidhani itafanya kazi mda wote bila kujua antivirus inahitajika iwe update ili kukopi mazingira mapya)
 
poa WAHEED SUDAY,pia RASHAKA amia windows 8,8.1 au 10 kumbuka MICROSOFT WANAACHA KUSUPPORT WINDOWS 7 hivyo uwepo wa kushambuliwa na virusi ni rahisi sana....NB
 
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
fungua flash yako, achana nayo.nenda start......control panel..........appearance and personalisation.......folder option......show hidden files &folders.........advanced settings....(check) the "show hidden files,folders or drives box.....(uncheck) next 3 boxes..... when warning box appears say "yes".click "apply" and "yes".rudi kwenye flash yako utaona mafaili yako.....cut.. paste sehemu halafu format flash yako then rudisha mafaili yako............ good day....
 
usisahau kurudisha settings kama zilivokuwa mwanzo, yaani kucheck na uncheck boxes ulizobadilisha.
 
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
fungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s /s /d <D>:\*.*) )
 
Sasa kama mtu ishu ya shortcut imemshinda ku solve. We unahisi swala la kuandika hizo command prompt ataweza. Kwaza ni ngumu sana my be mpe plan B
 
yani hata ku copy hiyo na kuweka kwenye command prompt inamshinda? cha kuedit ni driver latter tu basi

baada ya kufanya hivyo mafaili yataonekana na atafuta folder lenye shortcut
 
fungua command prompt (bonyeza start kisha type cmd then hit enter) ukisha fungua andika command ifuatayo attrib -h -r -s /s /d <Your USB drive letter>:\*.* kisha hit enter (angalizo zingatia kuweka space ukishindwa copy kama ilivyo kisha badilisha usb latter mfano (attrib -h -r -s /s /d <D>:\*.*) )

Alternatively, afungue command interpreter directly kutoka kwenye flash.

Chomeka flash, ifungue kisha bonyeza Shift+Right Click. Yani shika Shift na kisha ubonyeze Right Click kwenye mouse huku umeshika Shift. Itakuletea menu ya tofauti kidogo. Achia Shift, kisha bonyeza 'Open Command window here'.

Itafunguka command interpreter. Andika command hiyo:

ATTRIB -S -H -R /S /D

Bonyeza Enter. Mafolder yako yataonekana. Note that inawezekana kile kirusi kikawa kimegroup mafolder yako yaliyokuwepo kwenye flash ndani ya folder moja lisilo na jina. Ukiliona, lifungue. Vitu vyako vyote vitakuwemo humo.

Hii ni temporary solution. Haimaanishi virusi havitoingia. Hapa tumereverse tu actions za hivyo virusi, ila vikiinfect tena mafile yatajificha.
 
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
Huyo sijui nimwiteje ok kirusi huyo anachukua data zoote anapeleka katika hidden file linaloitwa recycler ikishatokea hivyo ni ngumu kutoka kwa antivirus ...mimi huwa namtoa manualy kwa kutumia comand promt 0715866429
 
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka antivirus bado jibu ni hilo hilo, je nitumie njia gani?
MIM NAMUITAGA RECYCLER VIRUS..anauwezo wa kudanganya antivirus hata ukiupdate
 
Ndugu raskaka

Iwapo umeshidwa kwa option zote tajwa hapo juu.

Tumia hii option

1. Download USBFix hapa: http://www.fosshub.com/UsbFix.html/UsbFix_2016_8.184.exe
2. Funga programs zote ulizo fungua kwenye PC yako; Usiondoe flash
3. Kisha fungu USBFix na Click 1. Research - Itakapo maliza click 2. Clean {Click spoiler kuona Picha}
usb2.png
4. Restart PC yako fungua flash yako na mafile yako yote yataonekana na utaweza kuyatumia.

NB: Post ni ya muda mrefu, Nimeweka hii alternative ili iwe msaada kwa wengine pia.
 
Download smadav antivirus inauwezo wa kurudisha hidden files kirahisi sana
 
Back
Top Bottom