Search results

  1. M-bongotz

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Haya ya kutafuta vielelezo n.k alipaswa kuyafanya huko kesi ilipo. Mahakama inaposikiliza rufaa haipokei ushahidi mpya ambao haukutolewa kwenye mahakama ya chini.
  2. M-bongotz

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Mgawanyo wa mali wakati wa talaka huzingatia contribution ya kila mmoja kwenye upatikanaji wa mali hiyo. Hilo ni suala la ushahidi. Hatujui ni kwa namna gani uliweza ku-prove hilo mahakamani. Lakini kwa misingi ya haki, zile mali ulizochuma wewe mwenyewe kabla ya ndoa yenu hazipaswi hukusishwa...
  3. M-bongotz

    JamiiForums Usiku wa manane

    02:56
  4. M-bongotz

    Arusha ni Mji ulioachwa uharifu utambe

    Tembelea UNGA LTD uone maisha ya watu wa kule halafu ujiulize mtoto anayezaliwa na kukulia kule anaweza kuwa raia wa aina gani
  5. M-bongotz

    Utaratibu wa Mahari, mwanamke wa Kichaga Rombo

    Kwani anayetolewa mahari mwenyewe hajui taratibu za kwao?
  6. M-bongotz

    Huwa unafurahia nini uwapo safarini hasa safari za ardhini?

    Napenda zile stops za kuchimba dawa
  7. M-bongotz

    Kwa wenye experience na gari za Jeep

    Mkuu unaweza kusaidia jina la hili duka?
  8. M-bongotz

    Nahisi baba anataka kugawa urithi bila kunishirikisha. Naombeni msaada

    Mali ni ya baba yako, sio yako wewe. Acha uvivu, fanya kazi na uachane na fikra za kimasikini hizo za kusubiri urithi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M-bongotz

    Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Wakuu Salaam, Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
  10. M-bongotz

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Siujui jina lakini una chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...
  11. M-bongotz

    Natafuta wimbo huu

    Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye huu wimbo naomba anisaidie hapa pls.
  12. M-bongotz

    Tunaopeleka magari yetu Car wash tukutane hapa.

    Bora mie Passo yangu naweza hata kuioshea kwenye sink la nyumbani
  13. M-bongotz

    Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

    Ninachojua ni kuwa mwanafunzi anafaulu au kufeli kwa average score, yaani wastani wa mitihani mitatu ya somo moja lenye mitihani mitatu na oral, sasa si lazima ufaulu components zote ndio maana ukiangalia matokeo ya mtu unaweza ona kwenye component ya somo fulani ana F lakini final grade...
  14. M-bongotz

    Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

    Sasa si uwashauri waliofeli waombe re-marking?, kumbe solution mnayo halafu mnapiga kelele
  15. M-bongotz

    Dar ni Jiji la UKAWA linaloendeshwa na Makonda!

    Kumuweka Makonda kama RC wa Dar ni strategy ambayo imefanya kazi vyema kwa upande wa CCM, uchapakazi wa Makonda unawafanya Madiwani, Wabunge na Mameya wa UKAWA kuonekana hakuna wanachofanya maana kila kitu cha maendeleo ya jiji kinaanzishwa na Makonda na wanahakikisha kuwa ni yeye ndiye...
  16. M-bongotz

    Maumivu ya moyo....!!!

    Mle kiboga kwanza halafu ndio asepe
  17. M-bongotz

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Haka kauzi kazuri sana, kanahamasisha kupost chochote ili ujiokotee vi-likes
  18. M-bongotz

    Pochi ya bastola kwa bei rahisi.

    Zinapatikana pia za mifuko ya rambo kwa anayehitaji
Back
Top Bottom