Search results

  1. jacquejaytee

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kigamboni kisarawe ii-sqm 838-mil20

    Hapana hakina hati, ila nilishaanza mchakato
  2. jacquejaytee

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kigamboni kisarawe ii-sqm 838-mil20

    Habari za wakati huu wana jamvi,ninauza kiwanja kigamboni maeneo ya kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838,kipo dakika chache kutoka barabara kubwa ya kibada-mwasonga,(dakika 5 kutoka kiwanja cha mpira cha yanga na TFF) Hakina mgogoro wowote na hakina dalali, nicheki direct 0715002270! Bei mil 20
  3. jacquejaytee

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kigamboni kisarawe ii-sqm 838-mil20

    Habari za wakati huu wana jamvi,Ninauza kiwanja maeneo ya kigamboni kisarawe 2 chenye ukubwa wa sqm 838 kipo mita chache sana kutoka barabara kubwa (dakika 5 kutoka uwanja wa mpira cha Yanga & TFF) Hakina mgogoro wote na hakina dalali, nicheki direct 0715002270! Bei ni milioni 20.
  4. jacquejaytee

    Naomba kuelimishwa juu ya risiti za EFD

    Okay, asante kwa mchango wako
  5. jacquejaytee

    Naomba kuelimishwa juu ya risiti za EFD

    Okay.Asante kwa ufafanuzi huu! Iko tricky kwelikweli
  6. jacquejaytee

    Naomba kuelimishwa juu ya risiti za EFD

    Habarini za wakati huu. Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee kwa Kiswahili chepesi ili nielewe nini maana yake na nini faida zake na pengine ata hasara zake...
  7. jacquejaytee

    Ukinunua gari na muda wote unaendesha kwa kuwaza mafuta yaliyotumika safarini, basi wewe ni bora ukapaki

    Ndugu zangu, habarini za wakati huu Natumaini mpo salama. Leo nalileta kwenu wazo langu /mtazamo wangu juu ya kumiliki gari! Dhumuni mojawapo la kununua gari ni kukuwezesha wewe mtumiaji kupata utulivu wa kutafakari ama kujadili jambo lingine linalo kuhusu. Sasa ukiona umenunua gari na muda...
  8. jacquejaytee

    Car4Sale Suzuki splash [emoji97] iko sokoni

    BEI 11.8 MIL [emoji336]0715002270 SUZUKI SPLASH (DQX)[emoji91][emoji91] YEAR 2008 Cc 1240 [emoji736][emoji184] MILEAGE 129,000km ENGINE K 12 B FUEL PETROL [emoji618]️ TRANS,AUTOMATIC NEW TYRES REVERSE CAMERA FULL AC🧊[emoji3587][emoji3063] FULL DOCUMENT [emoji94][emoji94] HAINA KIPENGELE GARI NI...
  9. jacquejaytee

    Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Anapatikana kkoo maeneo gani? Huna jina la hospitali au mtaa?
  10. jacquejaytee

    Naomba kufahamishwa vigezo vya kununua nyumba Dar es Salaam

    Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika. Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi. Nawasilisha.
  11. jacquejaytee

    Dhana ya gari automatic hazifai kwa biashara ya kubebea mizigo

    Wakuu habari ya leo, Kuna dhana kuwa gari za kubebea mizigo kama kirikuu na zile mini canter hazitakiwi ziwe automatic,ni lazima ziwe manual. Hii ikoje kitaalam na je ni kweli magari ya automatic hayawezi biashara ya kubeba mizigo?
  12. jacquejaytee

    Wapi nitapata fundi wa funguo za gari?

    Heri ya mwaka mpya wana jamvi,funguo ya gari imeharibika aina ya suzuki splash,nimejaribu kwenda kwa maduka mawili matatu wote wameshindwa sababu ni suzuki na Kuna duka posta barabara ya samora mtaa wa mosque wataalam wa funguo lkn wameshindwa. Yaani ufunguo umechomoka kutoka kwenye ile body...
  13. jacquejaytee

    Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

    Naomba hii movie tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom