Search results

  1. Iramusm

    VITZ IN GOOD CONDITION FOR SALE

    Mileage :64,503 km. Imetembea Dar kwa mwaka mmoja tu toka inunuliwe. Namba inaanzia D. Documents zote zipo. Picha zimeambatanishwa kwa maelezo zaidi. Bei 10m. Kwa mawasiliano zaidi, piga 0714-313362
  2. Iramusm

    Kufanya Mapenzi kwenye gari, Sheria inasemaje?

    Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari; ilikuwa usiku..wakati wanaendelea wakatokea polisi..wakaanza kugonga dirisha kwa nguvu..jamaa akaona...
  3. Iramusm

    Tanzania Population

    Hello JF, I need to know the Population figures for Tanzania in categories below 1. By end 2009 2. By end 2010 (Projected) I have tried to search in Natinal Bureau of statistics website but could not get it, any one with this info or how to get it,msaada pliz
  4. Iramusm

    Oral Sex inasababisha kansa?

    Wadau wa JF maoni yenu na clarification kuhusu hii ishu, je ni kweli kunyonyana sehemu za siri( ukeni au uume) kwa kutumia mdomo kunasababisha kansa ya koo na kansa ya kizazi? Kama ni kweli, je ufanyaje ili kupunguza risk ya kupata hayo madhara? Manake wengine tushakuwa addicted na hako kamchezo...
  5. Iramusm

    Tusker Cup 2009

    Wale wenye data tupeane yanayojiri katika Tusker Cup humu. Kwakuwa wote tunakubaliana kuijenga timu bora ya taifa basi lazima mkazo uanzie kwenye vilabu ni muhimu mashindano ya vilabu nayo yatupiwe jicho. Tupeni data wana JF tupate burudani huku tukiangalia mustakabali wa soka la bongo
Back
Top Bottom