Tanzania Population

Iramusm

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
509
314
Hello JF,

I need to know the Population figures for Tanzania in categories below
1. By end 2009
2. By end 2010 (Projected)

I have tried to search in Natinal Bureau of statistics website but could not get it, any one with this info or how to get it,msaada pliz
 
Sensa ya mwisho ilikuwa 2002 na kwa kawaida hizi hufanyika kila baada ya miaka kumi ukiondoa Tanzania maana kabla ya hiyo ya 2002, ilifanyika moja 1988. Idadi ya watu katika miaka ya hivi karibuni ni makadirio tu yanayozingatia kasi ya ukuaji ya ongezeko la watu inayotumia birth and death rates.

http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=97&Itemid=115, ambayo ni 33,461,849 kwa mwaka 2002.

Benki ya dunia inatuambia ya kwamba population imekuwa inakuwa kwa wastani wa asilimia 2.6 kwa mwaka toka 2002.
 
Back
Top Bottom