Search results

  1. C

    Dawa ya huyu mdudu

    Huyu mdudu anakula mbao sana,kitanda, coffee table nk. Unasikia sauti inatoka ng'we, ng'we kwenye mbao ndio anakula hivyo. Dawa gani inafaa kutumia ?
  2. C

    Tahadhari dereva, tochi Mbezi kwa Msuguri

    Kuna tochi hapo kwa Msuguri. Endesha kwa uangalifu
  3. C

    Case Reviews

    Wanasheria naomba msaada wenu. Kesi ikishaamuliwa, na aliyeshindwa Kesi, alikiri kosa tangu mwanzo na hakukata rufaa. 1. Je, Kesi hiyo yaweza kufanyiwa review na mahakama ya juu zaidi ? Kwa kipengele lipi cha sheria? 2. Je, kuna ukomo wa muda baada ya hapo Kesi hiyo haiwezi kufanyiwa review? 3...
  4. C

    ATC Kwenda Dodoma

    Vipi ATC Kwenda Dodoma leo asubuhi? Dk 49 tangu ipae ipo Kisarawe tu inazunguka zunguka?
  5. C

    Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?

    Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m. Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza...
  6. C

    Radio za Kilugha...

    Ni takriban miaka zaidi ya 60 imepita tangu kupata uhuru. Nyerere, raisi wa kwanza alifanya juhudi kubwa kuuondoa ukabila na kuweka utaifa mbele. Kwa hili alifanikiwa Sana. Katika kipindi hiki, tumeshuhudia watu wa makabila mbalimbali wakioana bila shida yeyote. Lakini, moja ya athari ya umoja...
  7. C

    App ya ku track wagonjwa wa Corona

    Kumekuwa na habari kuwa namba ya wagonjwa wa Corona walioambukizwa, wanaoumwa, waliopona na waliofariki inakuwa understated na serikali. Naamini si mpango wa serikali kutoa data ambazo si za kweli bali ugumu wa ukusanyaji wa takwimu. Kwa kuwa wagonjwa karibu wote tunaanza nao huku huku...
  8. C

    Wapi naweza kupata Samaki wa Mapambo

    Wapi naweza kupata samaki wa mapambo hapa Dar, kama gold fish etc, ukiacha pale forodhani? Maana pale bei imesimama sana.
  9. C

    Fursa kwa wanawake wenye fani za hesabu, sayansi, technologia au uhandisi...

    Soma hapa kwa maelezo zaidi https://www.techwomen.org/participants/eligibility-and-application
  10. C

    Tanzania Outlaws Fact-checking, Seeks World Bank Aid to Create New Facts

    Tanzania Outlaws Fact-checking, Seeks World Bank Aid to Create New Facts Following the playbook of Argentina and Greece, Tanzania has criminalized scrutiny of its economic and social data—creating a quandary for its international creditors. When Tanzania's president John Magufuli took office...
  11. C

    What they say about Magufuli....

    Tanzania: Magufuli’s mining reforms are a masterclass in political manoeuvring BY DAN PAGET JULY 17, 2017 0 SHARE: Whether his moves in the mining sector work or not, President Magufuli knows what he is doing. President John Magufuli with World Bank president Jim Kim. Credit: Sarah...
  12. C

    Kulikoni Bombardier yetu inazunguka zaidi ya saa uwanja wa ndege

    Bombardier yetu inazunguka tu Kwa zaidi ya lisaa hapo uwanja wa ndege Dar? Wese bei ghali jamani paki Kama huna pa kwenda Vipi
  13. C

    Kudeposit cheki ya benki moja kwenye benki ingine na kuhamisha fedha toka benki moja kwenda Ingine

    Nashindwa kuelewa kwa nini inachukua hadi siku nne kama uki-deposit cheki kwenye akaunti yako, kutoka benki tofauti na yako, inachukua hadi siku nne kwa pesa kuingia kwenye akaunti. Yaani pamoja na maendeleo ya teknolojia iliyopo kwa sasa, kwa nini ichukue muda mrefu hivi? Hata ukifanya online...
  14. C

    Kwa nini Marekani na Ulaya wote wameshindwa kukiangamiza kikundi cha ISIS

    Hawa jamaa wamepigwa mabomu na US, bado wamo tu. Wamepigwa mabomu na Rusia, bado wanapeta. Wamepigwa mabomu na Uingereza, ndo kwanza wanachinja watu. Wamepigwa mabomu na Ufaransa, nao wanawapiga mabomu huko Paris. Wamepigwa mabomu na Jordan, ndo kwanza wanamchoma moto rubani wao. Mpaka leo bado...
  15. C

    Benki na ATMs ambazo zipo kwenye Malls na Supermarkes

    Si mara chache, kwenye Malls na Supermarkets, huwa kuna upungufu wa fedha kwenye ATMs, na ukitaka kutoa fedha ili ukafanye manunuzi kwenye baadhi ya maduka ambayo hayapokei kadi za Visa, unakwama. Hi adha huwa inaonekana sana nyakati karibia na sikukuu, mfano Iddi, Chrstmas etc wakati watu...
  16. C

    Jifunze Kilingala

    Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za kilingala, na ungependa kujua kilingala, waweza kujifunza kupitia Youtube.
  17. C

    Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    Mpaka sasa, bei ya mafuta duniani imepunguia katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa kwa maka kumi na mbili iliyopita, na kwa muda ilifika chini ya $30 kwa pipa. Ajabu ni kwamba bei imepungua kiasi kidogo mno katika vituo vya mafuta na kwa kweli haionyeshi uhalisia ya bei kupungua katika...
  18. C

    Ndege inayotumia Solar Power - Solar Impulse

    Kwa wale ambao ni wapenzi wa sayansi na technologia, unaweza kutembelea hii website Solar Impulse RTW - 8th Leg from Nagoya to Hawaii ambapo utapata habari, in real time, kuhusu ndege inayoendeshwa na nguvu ya jua, ambapo kwa sasa hivi ipo safarini kutoka Nagoya mpaka Hawaii mwendo wa Km 7735...
  19. C

    Naomba msaada wa Ku Unlock Nokia Lumia 900

    Jamani nina Lumia 900 ipo locked kupitia AT&T. Nililipia kupata unlock code toka US naona wamechemsha wamenirudishia hela yangu. Nawezaje ku-unlock simu hii?
  20. C

    Kuweka engine ya 1KZ kwenye Land Rover Discovery

    Land Rover Discovery ni gari ambayo nzuri sana kwa ndani na bei yake si kubwa sana. Tatizo kubwa ni kwamba engine yake mara nyingi huwa ni za petroli na ni engine kubwa ambazo gharama za mafuta inakuwa juu sana. Nimeona gari nyingi za Benz saloon zikiwekewa engine ya Toyota Mark II, na Pajero...
Back
Top Bottom