Search results

  1. isackkallindi

    Narcos

    Ingia muvikaonline.info Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  2. isackkallindi

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu wake Selesitin Msigwa wakosa dhamana

    Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28. Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank, hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia. Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii...
  3. isackkallindi

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

    UFISADI WA KUTISHA TFF Ripoti ya ukaguzi wa fedha za udhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania kwa Taifa Stars iliyotolewa Oktoba 2, 2014, inaelezwa kuwa, mbali na mambo mengine, TBL iliamua kufanya ukaguzi huo ili kujiridhisha kama shirikisho linazingatia makubaliano yaliyomo kwenye mkataba...
  4. isackkallindi

    Baada ya kukosa saini ya Jonas Mkude, Yanga wapiga hodi Azam FC

    BAADA YA KUKOSA SAINI YA JONAS MKUDE, YANGA WAPIGA HODI AZAM FC ............. Na isack kalindi DAR ES SAALM: YANGA baada ya kumkosa Jonas Mkude wa Simba aliyeamua kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, imehamisha macho yake kwa kiungoHimid M ao wa Azam FC huku ikiwa tayari...
  5. isackkallindi

    Wafahamu Wachezaji walioachwa na vilabu vyao Ligi Kuu Uingereza (EPL)

    Wachezaj walioachwa *AFC Bournemouth* Buckley Callum Ralph McCarthy Jake Neale Matthew Alexander *Arsenal* Da Graca Kristopher Santos O'Connor Stefan Ramone Sewell Sanogo Yaya *Burnley* Barton Joseph Green George William Hill Christian Stephen Kightly Michael John Olomowewe Taofiq...
  6. isackkallindi

    Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

    Maamuzi hayo yametangazwa leo na Katibu mkuu wa TFF Selestin Mwesigwa katika ukumbi wa habari wa TFF. Sababu za kufutwa pointi hizo ni kucheleshwa kwa malalamiko ya Simba Sc dhidi ya Kagera Sugar. Simba SC kushindwa kulipia ada ya kukata rufaa kwa maamuzi ya mechi hiyo na kukosekana kwa...
  7. isackkallindi

    Good bye Zaltan Ibrahimovic

    MICHEZO Usitarajie kumuona tena Zlatan Ibrahimovic uwanjani kwa mwaka 2017 By Isack kalindi Bado wachezaji na benchi zima la ufundi la Man United halitakuamini kwa kilichotokea kwa mshambuliaji wao tegemeo raia wa Sweden Zlatan Ibrahimovic kuwa hawezi kurejea uwanjani kwa siku za karibuni...
  8. isackkallindi

    TFF yamburuta Hajji Manara kwenye Kamati ya Maadili

    Kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kila mwanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania analazimika kuheshimu na kufuata kanuni za maadili za shirikisho kama zilivyoainishwa kwenye kanuni zake mbali mbali. Wanafamilia wa mpira wa miguu ni pamoja na wachezaji, makocha...
  9. isackkallindi

    Nafasi za kazii kwa walio soma TEACHING....

    Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani. Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana. Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/ Nyingine iko Bagamoyo pwani. Awe na mathematics Mshahara 700, 000/ hadi 750...
  10. isackkallindi

    Wale wa nacte

    Selection Afya Zisha Toka Chek Profile Yako Vzr
  11. isackkallindi

    Msaada jamani ndugu zangu

    Tafuta Clinical Lab.
  12. isackkallindi

    Msaada wa nacte application kwa mtu wa diploma

    Nenda Max Malipo Mimi Niliwatumia Kwa Kupitia Max Malipo Nikapenda Code Zangu Nisha Maliza Hayo Maswala
  13. isackkallindi

    Nafasi za kazi

    Dar Es Salaam
  14. isackkallindi

    Nafasi za kazi

    AMD SOLUTION TANZANIA : Inapenda Kuwatanganzia Nafasi Za Kazi Kwa Sectary Sifa Za Mwombaji ==> Awe Na Uzoefu Na Kazi ==> Awe Na Cv Za Sectary ==> Ajue Kiingereza Cha Kuongea Na Kuandika ==> Asiwd Na Umuri Zaidi Ya Miaka 45 ==> Awe Mtanzania Njinsi Ya Kutuma Maombi Maombi Yote Yatumwe Kupitia...
  15. isackkallindi

    Natafuta kazi ya uuguzi Arusha

    Omba Sekta Binafc Utapata Haraka
  16. isackkallindi

    Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu

    Mimi Nipo Azam Fc
  17. isackkallindi

    Baryen Munich Na Barcelona zafuzu Robo Fainali

    Team Ya Baryen Munich Imefanikiwa Kufudhu Nusu Fainali Baada Ya Kushinda Kwa Goli 6 Kwa 1 Na Kufikisha Jumla Ya Goli 7 Kwa 4 Baryen Sasa Yaenda Fainal Huku Mchezo Mwingine Uliopigwa Pale Nou Camp, Barcelona Iliibuka Na Jumla Ya Goli 2 Kwa Nunge Goli Ambazo Zilifungwa Na Nerymal Na Barcelona...
Back
Top Bottom