Search results

  1. N

    Nauza shamba eka tatu

    Nina shamba langu ambalo ninaliuza liko nje kidogo na Dar es salaam.Mkoa ni Pwani wilaya ya Kibaha.Sio mbali na barabarani.Sehemu lilipo Shamba hili ni eneo linajulikana sana kama Kwa Mbago.Lina ukubwa wa eka tatu. Kama uko na basi unashukia Visiga kwa kipofu.Ni sehemu ambayo kuna kuwa na...
  2. N

    Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa

    Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje? utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini...
  3. N

    Je umesikia?Africa Free Business Modules -Free LibreOpen Source Software Workshop-NIT

    Kuna workshop nzuri sana inaendelea kwa wiki mbili pale National Institute of Transport -Dar es salaam.Mabibo Kinondoni.Chini ya Coordinator Mzuri sana anaitwa Edger Telesphory.Hutachoka kusikia na nitakuwa nawaletea baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Semina hii.
  4. N

    Ni Furaha Isiyo Kifani

    Nashukuru sana kupata nafasi hii ya pekee mimi nami kuweza kujikaribisha humu kwani kabla sikuelewa nikaingia kabla ya kupiga hodi.Jamani ndugu zangu kwanza nisameheni kisha mnikaribishe .Naamin nami nitajifunza mengi kutoka humu na zaidi sana kupata kuchangia mengine ambayo naamin ni ya...
Back
Top Bottom