Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje?
utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini inakuwa ngumu kutokana na umri wake wengi wanaogopa kuwa hawezi kuzaa wala kuoa mwanamke wa jinsi hii hivi ni kwa nini?