Search results

  1. K

    Mbunge Elibariki Kingu awasilisha barua kwa Katibu wa Bunge kuhusu posho "Sitting Allowance"

    Hongera sana mtumishi Kingu. Kweli umeenda bungeni kuwatumikia wananchi. Kwa maisha yetu haya ya kawaida mshahara na subsistence allowance zinatosha na hata kubaki. Ni wakati sasa wa kufanya siasa za utumishi na sio kugeuza siasa kuwa ajira. Salute!
  2. K

    Moshi mbaya wa magari ya diesel

    Daladala nyingi zinatoa moshi mbaya sana wa unburnt diesel fuel. Sijui kama wana mazingira na afya wanalijua hili. Ni adhabu na hatari kuwa nyuma au pembeni mwa daladala uwapo kwenye foleni.
  3. K

    Usindikaji wa gesi ya kupikia Kinyerezi

    sio hivo ndugu. Kasome tofauti ya LIQUIFIED PETROLEUM GAS (LPG) na NATURAL GAS.
  4. K

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Hongera sana Humphrey. Umeongea vizuri sana as you always do.
  5. K

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Nissan xtrail: 2.0 litre engine, DUAL OVERHEAD CAMSHAFT, VVTi, SPACIOUS, SELECTABLE FOUR WHEEL DRIVE, GOOD FUEL ECONOMY, NI MBADALA MKUBWA WA TOYOTA PRADO. HUWEZI KUILINGANISHA NA HARRIER , RAV 4 , HONDA CRV ,AU KLUGER.
  6. K

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    Pole sana ndugu yangu. Hatupingi 50kph tunapinga idadi ya hizo 50kph.
  7. K

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    kwa hiyo kuna uwezekano wakawa wanajiwekea speed wenyewe kwenye hicho kifaa?!!! hii ni hatari sana. tuweni makini sana hawa watu. Kwanza wanatumalizia mafuta na muda sana. Gari nyingi hasa automatic kwenye speed 50 haziwezi kabisa kuingiza gia namba nne, yaani unakuwa kama uko kwa foleni dar...
  8. K

    Serikali ondoeni matochi barabarani magari yaende, abiria tunachoka na kukereka

    Kwakweli hii issue ya ma traffic kuvizia magari na tochi inakera sana. Eti wanadai kwenye maeneo ya makazi utembee na speed 50KPH, basi wazihamishe high ways ziende mbali na makazi sababu kila siku makazi yanaongezeka na hivyo basi ipo siku tutaambiwa tutoke mwanza hadi dar kwa speed 50kph...
  9. K

    Hii ndo TZ ya leo

    Soma hii habari uone jinsi TZ ya leo ilivyokosa connection between the three pillars of a government that is, Parliament, Judiciary and Civil servant (bunge, mahakama na serikali kuu au utumishi wa umma) This is real sad to see we are living in a less patriotic country like Tanzania, anyway...
  10. K

    Miliki bunifu, changamoto kwa wanateknolojia tanzania

    Kwanza napenda kutoa shukrani zangu nyingi kwa juhudi zilizofanywa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) pamoja na Wakala wa Usajili biashara na Utoaji leseni (BRELA) kwa kushirikiana na Shirika la Miliki Bunifu duniani (WIPO) kwa kuanzisha Kituo cha Utoaji Huduma za Ushauri na Taarifa za...
  11. K

    wamarekani weusi mashoga kuoana sasa nje nje!

    tht's a fucking shit, those fucking gays deserve death
Back
Top Bottom