"SHEREHE za kusimikwa kwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CC), Bw. Deo Filikunjombe zilitikisa mji wa Ludewa mkoani Iringa baada ya wana CCM kutoka kata zote 22 za wilaya hiyo kushiriki huku wakiwa na furaha kubwa. Shamrashamra hizo zilipambwa na wanaCCM waliokuwa...
Kama kweli alikusudia kusema hivyo basi vijana neema itakuja upande wetu. Ila wanawake wengi mkuu wanataka wanaume ambao eti wenyewe wanasema wako stable ktk maisha. Sasa mpaka mtu anapokua stable inamaanisha ujana ushaisha ndio anafikia stage hiyo ya kuelekea uzeeni. Vijana wenzao hatuwezi...
"Although Professor Hoseah Kayumbos primary task is to teach Biology and related subjects at the University of Dar es Salaam, he and his colleagues have taken the added task of improving the quality of English writing skills of biology students they teach.
According to him, the standard of...
Hiyo naikubali, kama dada unajiheshimu jianaume litakujaje tu na kuanza kukupa buku 10? Lazima jamaa aliona hao madada wamekaa mkao wa kupokeapokea hela za wanaume ndio maana akawapa,nao bila aibu wanachukua tu. I'm afraid wakiwa broke hudiriki hata kumbip kumwomba hela. Tupo bongo bana,twayajua...
Tatizo la watu kama hawa na wengine wanaojipenyeza kupata connections za ubalozi wanapenda sana kujitia kuanzisha vitu vya waTZ waishio nje wakati lengo ni kujinufaisha wenyewe binafsi. Cheap popularity ndizo zinazowafanya waongee hata vitu visivyokua na mshiko. Wanafikiri mawazo yao tu ndio...
Itapendeza kama hao waliokua wakila hizo buku 10 za mshikaji wakamtafuta awamege ili kukamilisha nia yake kwao.
Itapendeza wakishamegwa waje waseme hapa tujue mission accomplished!
Dk. Kessy (udsm)amesema mfumo unaosababisha wingi wa vyeo katika halmashauri za wilaya, unaongeza gharama na kusababisha matatizo kati ya viongozi na watendaji.
Alitoa mfano wa nafasi hizo kuwa ni Mkuu wa wilaya (DC) na Mwenyekiti wa halmashauri, na kwamba utekelezaji wa majukumu yao ungeweza...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda anaondoka Dar es Salaam leo usiku kwenda Geneva, Uswisi kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Kimataifa (International Telecommunication Union ITU).
Pinda atafuatana na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa...
Ili mfanikiwe na hiyo mission yenu inatakiwa muache kwenda kanisani/msikitini(ili msiwe mnafeel guilty/dhambi kufanya hivyo), katika somo linaloitwa maadili pateni F au zero. wenzenu wanafanikiwa kwa mtindo huo. Nanyi fanyeni tu mtafanikiwa kwa kuassume nchi nzima ni vipofu(hawaoni...
He can not stand and argue like Mnyika ndio maana watu wanaquestion academic level yake. Ndipo ikawekwa kisaniisanii hapo juu yakaonekana ni yaleyale ya wanasisiem wenye PhD za vyuo visivyoeleweka. Anyway, whether alisoma Havard au Oxbridge he is incompetent before Mnyika. Mwekeni tuone muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.