Search results

  1. mchatts

    Tigo acheni wizi wa salio la wateja na kuwaunganisha kiuwizi huduma zenu ila mlambe salio!

    Hawa watu ni wezi sana naona huu ndio utaratibu wao wa kujiongezea mapato. TCRA malalamiko dhidi ya hawa watu yamezidi au hamuoni?
  2. mchatts

    nissan patrol sale/exchange

    Mkuu nitumie picha whatsapp 0718735540
  3. mchatts

    Jinsi ya kumkopa tena mtu anaekudai

    Ngoja nije nikope kwako ili nijaribu hii janjajanja
  4. mchatts

    Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Kwaheri mkuu ila naona hata kule huonekani au nako uliaga?
  5. mchatts

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vipi kama simu ina salio unajiungaje au ni lazima ununue vocha na kukwangua?
  6. mchatts

    Plot for sale mill 2

    Kimepimwa na ni cha ukubwa gani?
  7. mchatts

    Kiwanja kinauzwa

    Umbali gani toka eneo la uwanja mpya wa ndege
  8. mchatts

    Mtatiro: Wanaume wa Dar tumejawa na uoga na ubinafsi

    Wanaume wa buguruni mmetudhalilisha sana
  9. mchatts

    Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Ngoja tufanye mkakati wa kufunga dojo lake
  10. mchatts

    Wataalam wa hesabu, nisaidieni

    Hapo hakuna jibu mkuu
  11. mchatts

    Yaya Toure analalamika nini? Sio kila siku yeye, Aubameyang naye anastahili tuzo, eboh!

    Tatizo la hizi tuzo wametumia vigezo vya 2016 kutoa tuzo za 2015
  12. mchatts

    Car4Sale Magari ya Nissan, Mazda yapo 5 yanauzwa bei chee

    Mkuu mazda na nissan ni magari mawili tofauti. Au ni mazda mlizofunga engine ya nissan?
  13. mchatts

    Operation fichua maovu Global Publishers

    Ni deal zinazowaendeshea maisha hapa mjini na si kufichua maovu kama wanavyosema
  14. mchatts

    Gari la kubeba magazeti linalomilikiwa na Kampuni ya Mwananchi linalokwenda Mbeya limepata ajali

    Mkuu unaposikia magazeti ya kwenda mbeya inajumuisha vituo kuanzia mikumi,iringa, mafinga, makambako na mbeya hivyo si rahisi kusafirisja kwa ndege na ukavifikia vituo vyote
  15. mchatts

    Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    Hata mm nimemsikiliza ila sijamwelewa kabisa mh. Membe
  16. mchatts

    Nokia X+ dual elfu 50

    Ipo wapi,specification ni mpya au imetumika muda gani?
  17. mchatts

    Nguo za Karate zinapatikana wapi?

    Nenda tandale bei ilikuwa 40,000 kwa gee
Back
Top Bottom