sanaHivi nyie mnaujua mpira kweli??
sanaHivi nyie mnaujua mpira kweli??
ndio mzee mchopuHivi nyie mnaujua mpira kweli??
Leta hizo statistics,mbona Gervinho,Bony walichukua ubingwa wa Africa na hawakuwepo kwenye tatu bora na hawajalialia kama ToureAubameyang 2015 ilikua chupu chupu ashuke daraja
Angeulizwa hilo swali angeomba msamaha.mbona kipindi kile nigeria walichukua kombe la africa toure alikua nominated na obi mikel lakini toure akachukua mbona ckusikia malalamiko kama hayo kutoka kwa mikel au yeye mwenyewe. Huo ni wivu anataka miaka yote achukue yeye tu.
Ww unayejua tuelezeHivi nyie mnaujua mpira kweli??
Hiyo miaka minne aliyochukua tuzo ,Toure aliwahi kuchukua ubingwa wa Africa?Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa ili uwe mchezaji bora Afrika kigezo cha kwanza ni kuwa hupaswi nchi yako kuwa bingwa kwa wkt huo na km una mafanikio yoyote aliyopata Pierre Emerick yaweke hapa tuyaone wote iwe kwa klabu ama Taifa,na Mimi nikupe ya Yaya Toure ambayo ww unayafaham hata bila kuorodheshewa.