Search results

  1. C

    Upo uwezekano wa CCM kufutwa pindi kitakaposhindwa uchaguzi wa Kitaifa

    Ndugu wanajamvi, nikiangalia miaka kadhaa inayokuja ni dhahiri kuwa CCM kitaangushwa kwenye uchaguzi wa nchi. Sababu za kuangushwa ni nyingi ila hiyo sio mada yangu kwa sasa. Kwa sasa naangalia nini kitatokea baada ya kuangushwa. Ninachoona ni kuwa kutakuwa na ulazima wa kukifuta chama hiki...
  2. C

    Uchafuzi wa mazingira kwenye barabara kuu ziendazo mikoani must stop

    Wakuu kuna mambo ambayo yanafanyika kwenye njia kuu ziendazo mikoani ambayo hayatakiwi kufumbiwa macho. Abiria wa mabasi wanapoingia kwenye vituo vya kula chakula wengi wao wanachukua vyakula kama take away, kinachofuata ni kula ndani ya basi na kisha mabaki ya mifuko ya plastiki, chupa za...
  3. C

    CCM wana nia ya dhati ya kuwainua wanawake?

    MTASHANGAA sana enyi ndugu zangu. Nasikia sasa kaulimbiu imebadilika ghafla. Sasa tunaambiwa kwamba ‘wanawake wanaweza,' utadhani kuna aliyewahi kubisha. Nasema wacha tu niijadili hii mada kuliko kukaa na kijiba cha moyo. Chonde-chonde enyi watu msije mkadhani nasema wanawake...
  4. C

    CHADEMA waanzishe na kumiliki News Media zao

    Ni jambo lililo wazi kuwa watanzania tumebadilika sana kimitazamo na kuwa forums zilizopo na hasa TV na radio kwa mtazamo wangu zinashindwa kukidhi kiwango cha upevu wa kimawazo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Ukiangalia TV karibu zote TZ na hata radio zetu nyingi zina muelekeo wa...
Back
Top Bottom