Search results

  1. A

    Msaada kuhusu database ya kaspersky internet security 2013

    Asante kwa msaada wako ngoja nijaribu
  2. A

    Msaada kuhusu database ya kaspersky internet security 2013

    habari wadau, nimeinstall kaspersky internet security 2013 ila inaniambia database is obsolete. Nikijaribu ku-update inagoma. naomba msaada
  3. A

    kweli ligi ya Mabingwa mkoa (RCL) imesimamishwa leo na mahakama?

    wadau naomba kujulishwa hivi ni kweli ligi ya Mabingwa mkoa (RCL) imesimamishwa leo na mahakama?
  4. A

    Ni kweli ligi ya Mabingwa mkoa (RCL) imesimamishwa?

    wadau naomba kujulishwa hivi ni kweli ligi ya Mabingwa mkoa (RCL) imesimamishwa leo na mahakama?
  5. A

    Msaada wa photoshine

    Please wana-JF naomba msaada wenu kwa mwenye software ya photoshine au wapi naweza kuipata?
  6. A

    Msaada wa kuangalia movie you tube

    Habari wadau, natumia window xp ila nashindwa kutumia you tube.msaada wenu
  7. A

    Ajira! Ajira!! Ajira!!!

    asante mkuu kwa information
  8. A

    Msaada wanajf

    thanx mamlook.but hakuna any link yeyote ambayo ni rahisi kupata hizo driver?
  9. A

    Msaada wanajf

    Nilienda hapo Hp lakini sikufanikiwa kupata hizo driver.Natumia window XP
  10. A

    Msaada wanajf

    Nina LAPTOP HP NC6120 nahitaji msaada wa sound drivers
  11. A

    msaadawa kuondoa unfinished program

    habari wadau, kuna computer ukiwasha inaonyesha kuna program ya photo galley unfinished ila sina cd iliyotumika kuinstall hiyo program na ukienda kwenye installed program haionekani.msaada jinsi ya kuiondoa
  12. A

    Scholarships for tanzanians.

    thanx mkuu kwa information
  13. A

    Msaada wana-jf

    OS ni WINDOW XP, specification gani nyingine unataka?
  14. A

    Msaada wana-jf

    Window xp,
  15. A

    Msaada wana-jf

    Habari wana Jf, Nina Lap top yangu haikubali kucheza DVD.CD inaonekana ila ukiifungua inaonyesha haina kitu.
  16. A

    Msaada wanajf

    nimeenda kwenye device manager USB drivers ziko rangi ya njano. Nimejaribu flash na modem tofauti zote hazisomi.Nimeweka off baadae Nimeondoa hiyo Anti-virus bado tatizo pale pale
  17. A

    Msaada wanajf

    Nmefungua lakini nimeshindwa kujua ni driver ipi ni ya usb sababu kuna LAN, MODEM NA VGA DRIVER naomba msaada
  18. A

    Msaada wanajf

    Nimeshindwa kuzidownload niko na window 7 haikubali kufungua
  19. A

    Msaada wanajf

    Asante ndugu natumia window xp
  20. A

    Msaada wanajf

    Naombeni msaada wa driver za USB Desktop aina ya ACER VERITON M261.Nilikuwa nainstall kersperky ikapoteza driver za USB
Back
Top Bottom