Search results

  1. Kakakuona

    INAUZWA Geti na mlango wa kioo vinauzwa

    GETI UKUBWA: FUTI 8 ×7 BEI: TSHS 400,000 _______________________ MLANGO UKUBWA: FUTI 7×7 BEI: TSHS 500,000 _______________________ KWA HUDUMA YETU: 0716442950 MAHALI: MBEZIBEACH _______________________ TUMEBADILISHA MATUMIZI YA FLEMU KUWA NYUMBA YA MAKAZI.
  2. Kakakuona

    Geti linauzwa

    GETI LINAUZWA UKUBWA: FUTI 8 ×7 MAHALI: MBEZIBEACH TANGIBOVU BEI: TSHS 400,000 KWA HUDUMA YETU: 0716442950 ____________________
  3. Kakakuona

    Tunauza kiwanja Tabata

    KINAUZWA KIWANJA TABATA KIFURU _____________________ ENEO: Tabata Kifuru _________ BEI: - Tshs 28 Milioni _________ UMILIKI: Kimipimwa kina offer. _________ UKUBWA WA VIWANJA: Sqm 800. ________ HUDUMA: Umeme Tanesco upo. Maji Dawasa yapo. Huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi...
  4. Kakakuona

    NAUZA IST

    Inataka 6.5 M Ipo Kigamoni Kisu icho, haina Tatizo kubwa, Call 0716442950.
  5. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja Kibaha

    TUNAUZA VIWANJA ENEO: Kibaha Misugusugu, Kilomita 2 toka morogoro road. _________ MALIPO: Kwa awamu ndani ya Miezi 6. _________ BEI: Taslimu - Tshs 10,000 @1Sqm, Awamu - Tshs 12,000 @1Sqm ___ UMILIKI: Vimepimwa, Unapewa hati baada ya malipo. ________ UKUBWA WA VIWANJA: ________________________...
  6. Kakakuona

    NYUMBA INAPANGISHWA KARIAKOO FAYA

    Hi apartment IPO kariakoo faya, Ipo floor ya 3 no lift. inavyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablc bei laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6. _ sevice charge elfu 30 kila mwisho wa mwezi ( Maji, Ulinzi, Takataka ) - Call: 0742141467
  7. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  8. Kakakuona

    Msaada kuhusu bima ya afya

    Unaita nyumba za watu pagale, na huku bima inakushinda kulipia
  9. Kakakuona

    House4Rent Chumba masta na Sebule - Mbezi Beach

    Wachawi Utawajua tu,
  10. Kakakuona

    Ali Kiba amuomba Rais Magufuli atenge hela kutengeneza documentray ya Nyerere kwa kuwatumia bongo movies

    Mkuu ni kweli wananchi wanashida chungu mzima lakini katika kujenga nchi lazima kuna vitu vingine vifanyike sambamba na kuinua uchumi wa watu. Kwamfano, suala la kuleta amani ndani ya nchi - japo kuwa wananchi ni masikini lakini nchi lazima itenge bajeti ya kuimalisha ulinzi na usalama. Wazo...
  11. Kakakuona

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    DongYi Bonge la series
  12. Kakakuona

    Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Bilashaka wewe utakuwa ni wakala wa Shetani.. Kwaiyo katika kufikilia kwako kote, ndiyo ukaona dini ndiyo tatizo kubwa katika maendeleo ya afrika. Nchi nyingi duniani zimepokea dini hizo kama zilivyopokelewa afrika lakini zina maendeleo makubwa sana. Mfano, Brazil, Turkey, n.k Tatizo...
  13. Kakakuona

    ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    Tutumie kiswahili mazima kutoka primary hadi chuo, Vitabu vyote msingi hadi sekondary viandikwe kiswahili ... Tuachane na lugha ya mzungu, tukuze chetu
  14. Kakakuona

    ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...
  15. Kakakuona

    Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

    Kikubwa maelewano, ukiweza kuongea lugha ya kigeni na watu wanakuelewa inatosha!!!!! Wewe kama unataka mswahili aongee kiingereza kama mwingereza, wewe utakuwa mwendawazimu !!!
  16. Kakakuona

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    betpawa hawana bet market nyingi, pigabet ndiyo baba lao
  17. Kakakuona

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inahitajika Uwe na Upako hadi Ushinde odds zote Hizo [emoji16][emoji16]
  18. Kakakuona

    HUDUMA: Usafi wa majumbani na wahudumu wa kazi ndogo ndogo

    QuickHuduma Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Kakakuona

    Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

    Lengo lilikuwa SADC, baada ya Kukwama ndiyo ameamua kutafuta njia mbadala ya Kufanikisha alichokuwa anakikusudia... Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Kakakuona

    Kati ya baba na mama ni yupi mmiliki halali wa mtoto?

    Mwanamke na Mwanaume wote Wana haki sawa juu ya Mtoto, hayo mambo mengine ni mambo ya Imani, Mila na desturi zetu tunazozifuata na Kuziamini... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom