Search results

  1. N

    Tujulishane kama majina ya graduate yameshatoka kwa wale walioomba polisi

    Jamani wadau sisi sote tunapigika kitaa,mie ni miongoni mwa wale walioomba kujiunga na poilisi pale ccp vp majina yashatoka kweli? naomba tujulishane.
  2. N

    +255901006666 cjaielewa baado.!

    ndugu zangu hiyo namba imenitafuta leo ni siku ya nne ananipigia ila nashindwa kupokea kutokana na namba yenyewe,nisaidie ni namba ya wapi wadau.
  3. N

    Kwa hili,migration mbona wamelala.

    mkoani Arusha,mashule mengi ya private walimu wanaofundisha pale ni wa kutoka kenya na ukizingatia wanajificha kutokana na kua hawana uraia hali hii inazuia vijana wa tanzania kupata kazi ktk shule hizo,migration naomba mwende huko wakenya na waganda wamejaa,mimi nafahamu shule hizo na hao watu...
  4. N

    natamani kuoa jamani ndani ya mwaka huu 2014

    wana jf,huu ndo mwaka niliojipangia kuoa,ni kweli na wazi kwamba wasichana hawana ukweli ila ni matarajio yangu kuoa.kwa mdada aliyeko tayari na mwaminifu naomba 2wasiliane,asiwe mtu wa k'njaro au iringa.awe na kazi inayotambulika...umri 18-24
  5. N

    kwa hili,nani alaumiwe?

    wakati idadi ya ufaulu wa wanafunzi kuingia kidato cha kwanza kuongezeka inashangaza kuona baadhi ya watoto kutojiunga na masomo hayo kwa awamu ya kwanza kwa kicngizio cha uhaba wa madarasa,na baadhi ya watoto hao wanatoka ktk mikoa mikubwa ikiwemo Dar es...
  6. N

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    hatimaye nafasi za kujiunga na JWTZ bila kupitia jkt zatoka,wilaya zapewa nafasi chache,kwa waliomaliza form six nafasi moja kila wilaya,kidato cha nne nafac 7 kila wilaya,darasa la 7 nafac 14 kila wilaya.umri utawanyima wengi nafac pamoja na majina ya vyeti.maelezo zaidi tembelea ofic ya...
  7. N

    msaada pamoja na ushauri

    wanajf naombeni msaada na ushauri wenu plz,mimi nimemaliza elimu ya chuo kikuu,nimekua niki2ma applications zangu sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi za kidini,na nimeamza kuaply toka mwezi wa saba mwaka huu.Mungu saidia nimeshaitwa kwenye taasisi za kidini (wasabato)kufanya intavyu kila nifikapo...
  8. N

    Usaili JWTZ jamani

    wadau mimi ni miongoni mwa wahitaji wa hiyo nafasi,nimeenda mpaka kwenye kambi moja leo,nilichoambiwa ni kwamba,walioko depo wanatoka mwezi ujao na wakanambia kuhusu usaili hawajui maana wao wanapelekewa watu kwenye kambi.kama kuna mtu anafahamu usaili kwa wale walomaliza elimu za vyuo vikuu...
Back
Top Bottom