Tujulishane kama majina ya graduate yameshatoka kwa wale walioomba polisi

nyamatoke

Member
Nov 4, 2013
31
3
Jamani wadau sisi sote tunapigika kitaa,mie ni miongoni mwa wale walioomba kujiunga na poilisi pale ccp vp majina yashatoka kweli? naomba tujulishane.
 
Majina yalitoka wiki ishaisha, we uko wapi ndugu, cheki home affair ministry
 
Back
Top Bottom