Search results

  1. N

    Tujulishane kama majina ya graduate yameshatoka kwa wale walioomba polisi

    Jamani wadau sisi sote tunapigika kitaa,mie ni miongoni mwa wale walioomba kujiunga na poilisi pale ccp vp majina yashatoka kweli? naomba tujulishane.
  2. N

    +255901006666 cjaielewa baado.!

    ndugu zangu hiyo namba imenitafuta leo ni siku ya nne ananipigia ila nashindwa kupokea kutokana na namba yenyewe,nisaidie ni namba ya wapi wadau.
  3. N

    Ni TPDC kampuni au TPDC University?

    Naomba mniwekee tangazo lao jaman,nina lower afu nina mpiga debe nikichukuliwa ntawambia k2,nipe anuanh
  4. N

    Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

    Mungu kuiumba dunia ilimbidi aweke kila aina ya ua ili dunia ipendeze,hivyo kila sehemu watu wa matusi hatuwezi kuwaepuka,ndo mungu katupatia tuishi nao,tuwavumilie tu..ahsante mtoa thread nimeipenda hata mi nipo njia panda juu za hizo simu,ila kidogo nimeelewa.ebu nipe maelezo juu ya betri kwa...
  5. N

    Kwa hili,migration mbona wamelala.

    mkoani Arusha,mashule mengi ya private walimu wanaofundisha pale ni wa kutoka kenya na ukizingatia wanajificha kutokana na kua hawana uraia hali hii inazuia vijana wa tanzania kupata kazi ktk shule hizo,migration naomba mwende huko wakenya na waganda wamejaa,mimi nafahamu shule hizo na hao watu...
  6. N

    natamani kuoa jamani ndani ya mwaka huu 2014

    wala cna ubaguzi mbona,ila cjapendelea tu iyo mikoa ndugu yangu.
  7. N

    natamani kuoa jamani ndani ya mwaka huu 2014

    wa iringa wanajinyonga ovyo afu wa k'njaro wanaua wanaume,ndo ivo tu.
  8. N

    natamani kuoa jamani ndani ya mwaka huu 2014

    wana jf,huu ndo mwaka niliojipangia kuoa,ni kweli na wazi kwamba wasichana hawana ukweli ila ni matarajio yangu kuoa.kwa mdada aliyeko tayari na mwaminifu naomba 2wasiliane,asiwe mtu wa k'njaro au iringa.awe na kazi inayotambulika...umri 18-24
  9. N

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    level ya digrii hawajatoa kwa hizo,ila mimi nimeamua kujitosa na chet cha form six,degree huwa wanaenda makao makuu kufanyiwa usaili ndugu yangu,ila zikitoka ntakwambia uende makao makuu.
  10. N

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    We kaa unasema huna imani,wenzako ndo 2nasubiria usaili,we nenda kwenye hyo ofisi utalikuta tangazo ndugu yangu,afu kwa wale ambao hamjui hata kazi ya mshauri wa mgambo mckimbilie izo nafac maake haziwahusu.sie wilayan kwe2 2nasubiria usaili tu,kama huna imani basi,ila hii taarifa niliyowapa ni...
  11. N

    kwa hili,nani alaumiwe?

    wakati idadi ya ufaulu wa wanafunzi kuingia kidato cha kwanza kuongezeka inashangaza kuona baadhi ya watoto kutojiunga na masomo hayo kwa awamu ya kwanza kwa kicngizio cha uhaba wa madarasa,na baadhi ya watoto hao wanatoka ktk mikoa mikubwa ikiwemo Dar es...
  12. N

    Wale Mnaotaka JWTZ Kazi Kwenu

    hatimaye nafasi za kujiunga na JWTZ bila kupitia jkt zatoka,wilaya zapewa nafasi chache,kwa waliomaliza form six nafasi moja kila wilaya,kidato cha nne nafac 7 kila wilaya,darasa la 7 nafac 14 kila wilaya.umri utawanyima wengi nafac pamoja na majina ya vyeti.maelezo zaidi tembelea ofic ya...
  13. N

    Tapeli anaetumia namba 0767813664

    kuna mwingne anaita sandra colman kanambia ni mkimbizi kutoka liberia kani2mia kila document juu ya pesa za marehemu baba yake,jamani wezi ni wengi
  14. N

    Natafuta kazi ya ualimu katika vyuo vya ualimu...

    ucjali japo kwa sasa mpaka upitishwe na TAMISEMI kama huna mtu kule juu.anza mchongo hapo TAMISEMI
  15. N

    msaada pamoja na ushauri

    We jamaa wa patachimbika,heshima ni kitu cha bure lakini kizuri sana,unachodhamiria ni kizuri ila hakijaja kwa wakati wake kwangu.
  16. N

    msaada pamoja na ushauri

    wanaoenda kanisani cku ya j'moc
  17. N

    Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

    huyo ocd angekua sehemu ya mwili kiukweli angekua ile damu ya hedhi kwa wanawake,c angejichomeka kwangu aone kwamba kuna watu wana mafunzo ya kijasusi,wapumbavu kama hao wanaotembelea akili za wake zao 2napigaga tu kwani ocd kitu gani nyambavu.walimu nyanyueni vyuma na nyie.
  18. N

    msaada pamoja na ushauri

    wanajf naombeni msaada na ushauri wenu plz,mimi nimemaliza elimu ya chuo kikuu,nimekua niki2ma applications zangu sehemu mbalimbali zikiwemo taasisi za kidini,na nimeamza kuaply toka mwezi wa saba mwaka huu.Mungu saidia nimeshaitwa kwenye taasisi za kidini (wasabato)kufanya intavyu kila nifikapo...
  19. N

    msaada wa haraka nipo ktk wakat mgum sna kuamua!!!

    itategemea ni nani kakuita kwenye usaili,kuna watu wanakuita ukafanye intavyu alafu wanakuletea maujinga,haya yamenikuta mara kwa mara mkuu,jaribu kotekote.
Back
Top Bottom